Wanaotuangusha ni Gooners ambao wapo UK, kila siku wanaimba Wenger out, afu weekends wanajazana uwanjani kama makuku ya broiler.
Una mchezaji mwenye thamani ya £45 mil, unampiga bench kisa galasa kama Welbeck ambae hawezi kuhold mpira hata kwa sekunde 3.
Bench yupo world class central defender Mustafi mwenye thamani ya £45 mil, kisha unamchezesha kitoto cha miaka 20 ambacho wenger mwenyewe aliwahi kusema bado hana conference.
Una stiff midfielders kama Coqueline bado unamchezesha Ramsey kama holding, na unajua yeye muda wote anawaza kukimbia mbele.
Hivi kuna haja gani ya kuwaingiza strikers wa2 huku unamtoa Sanchez uwanjani na kumwacha Welbeck ambae sina uhakika kama kagusa mpira zaidi ya mara 6 mechi nzima.
Kuna huyu commentator nimemsikia akisema "Arsenal has quality players than Liverpool, but Liverpool is well coached"
RASMI!! Siangalii tena mechi yoyote ya hawa wasimbe hadi Wenger atakaposepa. I respect him, but his 20 years reign is over. I can't embarrass my emotions like this, back to back. I have stopped wasting my time on Arsenal hadi babu kizee atakaposepa.