Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bahati nzuri moyo na akili vimekufa ganzi kuhusu timu yangu pamoja na kuwa niliangalia mechi kwa kipindi kirefu tu. Maumivu hayapo tena Mkuu maana ukishazoea vipigo hakuna jipya tena, unaingia uwanjani ukijiuliza sijui leo tutapigwa ngapi? Ahsante sana Mkuu.
mkuu nilitia nia wenger akiongezewa mkataba nitakuwa nafuatilia matokeo ya arsenal kupitia mtandao. Alhamdulilah sijitii presha tena,enzi hizo late 90z arsenal ikifungwa usiku silal naicheza mechi kifikra mpaka tunashinda. Siku hizi hata sistuki
 
hehehe..kwa mwendo huu top 4 mtaisoma kwenye magazeti tu...
Ngoja siye tuendeleze dozi zetu za 4-4-2
 
DIQQUoeXgAUOTTL.jpg
 
Msife moyo
Arsenal team yenu nzuri tu
Hamna ambaye atabaki salama kwa Mane,Firmo na Salah
Then akija Lallana na Coutihno
Wanao wacheka leo hata wao yatawapata tu
Nani atapona kwa MAJOGOO?
Poleni sana na tunashukuru kwa points 3 leo
 
Timu mbovu ya Arsenal ina kila dalili ya kushuka daraja msimu , huu baada ya kutandikwa kipigo cha mbwa mwizi na Liverpool cha kapu la mabao 4 - 0

Wachambuzi wa masuala ya soka akiwemo Garry Neville wamechukizwa na kiwango kibovu kilichooneshwa na timu hiyo kiasi cha kushangaa !

Mabao ya Liverpool yalitiwa kimiani na Roberto Firmino dk 17 , sadio mane dk 40 , Mohamed Salah dk 57 na Daniel Sturrige dk 77 .

Angalizo kwa washabiki wa Arsenal - Chini ya kocha mbovu Wenger hii timu haitofanya lolote la maana , tafuteni timu nyingine .
Hii post yako imekuonesha ulivo kilaza na mjinga kuhusu maswala ya soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nilitia nia wenger akiongezewa mkataba nitakuwa nafuatilia matokeo ya arsenal kupitia mtandao. Alhamdulilah sijitii presha tena,enzi hizo late 90z arsenal ikifungwa usiku silal naicheza mechi kifikra mpaka tunashinda. Siku hizi hata sistuki
Aiseee poleni sana naamini mnapitia kipindi kigumu yenye maumivu makali but all in all bila ya Wenger kutoka bado mtapata maumivu makali sana. Babu hana jipya tena mechi ngumu kama ile huwezi kumweka laccazette nje....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom