Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Sol CAMPBELL we trust you!
Hahaaaaaa...Nyie dawa yenu Inter na Jose tu....Hei yetu sisi(kwa mchango wa Campbell) tumefika huko QF...Btw,unaizungumziaje game ya Jumapili na Manure?,Umeshajiandaa Kisaikolojia?...Au ndo kama kawa mambo ya kujipa ban japo hupendi....Binafsi nawaombea mshinde game hii😀😀