Naona kama wameswitch to invisible mode wengine wapo kama guests ila ngoja wakiona mwezi tu watarejea kwa kasi ya mwanga..bala na mbu wapo wanachungulia sehemu!!duuh! naona leo hakuna mtu hapa, kila mmoja kakimbia, kiroho juujuu!!!!! ngoja nami nitoke!
Is it Barcelona vs Hull city?Hivi wanachezea Nou Camp au Imarates??? dah! inawezekana mtu kufundishwa kucheza nyumbani kwenu!!..
boooooooooooo!!!!!!!! Half time......Fat Arse play beautiful football, MY FOOT!
Almunia amekula nini leo?!!!!! Is the man of the match so far....and that tells you something!
Yaah mkuu, anyway....ngoja tuone dkk 45 za kipindi cha pili......mtaani wakasema leo ndani ya kipindi cha kwanza Arsenal 0 Barcha 4........Waliosema hivyo nawa dedicatia wimbo wa HAO HAO NI .......darasa la kwanza enzi zile za miaka ileBado hawajafikia chapter inayoitwa 'UMALIZIAJI' lol