Nilishawaambia hii game ngumu, sasa mnaanza kusingizia refaHii game itakuwa tough sana kwenu
Tatizo lingine ni goal difference mnayo ndogo sanaMatokeo mazuri kwetu katika mechi ya J`mosi kati ya Chelsea na MANU ni hizi timu kutoka sare ya 0-0 na sisi tukiwapiga bao wale Wolves basi tutakuwa tumerudidha tena matumaini ya kuibuka kidedea ambayo jana yaliathirika kidogo.
We unataka asicheze World Cup...hatuhitaji refa kama kina Manure 🙂
...a month? hapana bana, arudi kuziba pengo aliloliacha. Bendtner mbado kabisa kuwa main striker, na Arshavin hataki kufunga! 🙁
Anyway, Jumatano we'll be different Gunners! ...hata nyie Chelski mtafurahia
"Together we stand!"
Still mtaendelea kushika nafasi ya 3lakini ndo mpira wanangu bdo tuko vizuri/man na chelsea next game wanadroo'wakishadroo sisi tukishinda mambo mswano.
Still mtaendelea kushika nafasi ya 3
Ndio zao hao mkuu, "wazee wa kulialia".Mwingine hata game hajaangalia ananza kumlaumu refa,
![]()
Mnampa majonzi kweli mtu mzima huyu..namwonea huruma kweli....
Wenger loses cool in post-match press conference
March 27, 2010
Arsenal manager Arsene Wenger lost his cool during his post-match press conference after a late goal from Birmingham striker Kevin Phillips dented his side's Premier League title hopes.
Wenger had already expressed anger at the challenge by Blues midfielder Craig Gardner on Gunners skipper Cesc Fabregas, which left the Spain midfielder with a knee injury.
And he uttered a four-letter-word response when asked whether there had been more than one bad tackle during the 1-1 draw.
Wenger said: "How is Fabregas? I don't know. We will have to assess him tomorrow. But it was a bad tackle, one more.
"He got tackled at the knee, kicked just under the knee. We tried to take him off but he said he was all right. Am I suggesting there were a lot of bad tackles? Leave me alone with that, for f***'s sake.
"You are always looking for controversy, you do not need me to tell you what happened on the pitch. I can give you my opinion about our game but you always create this controversy."
As regards whether Fabregas will be fit for the midweek Champions League game with Barcelona, Wenger said: " I don't know. We have to assess him tomorrow."
Wenger also felt that Phillips' equaliser, which cancelled out a goal from substitute Samir Nasri , was offside. But he admitted his team had enough opportunities to have wrapped up the three points.
He said: "It is disappointing and a big blow to our title hopes because, in our position, we had to win all our games.
"The pitch was difficult to play on but in the second half we were on top but then got caught at the end.
"Their goal was offside but in football you are never finished when two teams fight to the end and we had enough chances to have scored a second goal."
Birmingham manager Alex McLeish insisted Wenger was wrong to believe there was a vendetta against Arsenal.
He said: "The tackle by Craig on Fabregas was robust. I know what Arsene was getting at because if you follow through, even if you have got the ball, then at that speed you can hurt a player.
"But there were similar tackles by the Arsenal players and you have got to take it on the chin.
"I certainly don't think there is a big vendetta against Arsenal and people are not saying 'let's make bad tackles on them"'.
McLeish felt City deserved a draw and praised Phillips after he had scored the 250th goal of his career.
He said: "I think we deserved it. It was a kick in the guts when they went ahead with ten minutes to go, but again we showed that never-say-die attitude and Kevin came up trumps again.
"We have been giving him a cameo role this season and it was the sort of goal he has been getting all his career and he is a great credit to his profession."
http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=762524&sec=england&cc=3888
mkuu saa nyingine ukiamua huwa unatoa points za maana kweli lol.Kwa jinsi mnavyocheza hata kama game zote zilizobaki mngecheza na Pompey kuchukua ubingwa ni ngumu sana,hata kama umebakiza game ngumu/nyepesi lakini wachezaji wanatakiwa wawe na ari ya ushindi ,Fabregas ameumia timu nzima imekuwa mzigo angalia Chelsea wamecheza bila Drogba wameshinda 7,Man U wamecheza bila Rooney wameshinda 4.Mwingine hata game hajaangalia ananza kumlaumu refa, nawatakia kila la heri tarehe 30 dhidi ya Barca
mkuu saa nyingine ukiamua huwa unatoa points za maana kweli lol.
nakuunga mkono kwenye post yako 100%.
ha ha ha kuna ukweli kwenye maneno yake aliosema na kama tunataka kushinda we have to give out 100 % kitu ambacho mara chache sana nakiona kwa wachezaji wetu.tuko so relaxed sana huwa hatujui kulazimisha ushindi.Sasa unaunga mkono longolongo? Yaani unaamini anachosema Belo kuhusu Fabregas wakati unajua fika kuwa zile mechi ambazo hakucheza tulishinda tena kwa kishindo au Phillips kakuchanganya? Pengine umesahau mambo ya Nasri?
mkuu ukweli ni kwamba mara nyingi fabregas akiumia creativity inakuwa ndogo kati kati na najua tulishinda which was well n good wachezaji wali step up.Wenga acha u-Al Sahaf! Belo amesema Fabregas kaumia timu nzima imekuwa mzigo. Kisha wewe ukasema unamuunga mkono 100% hiyo ikiwa ina maana unakubali kuwa wenzetu wao wanatesa bila Drogba na Rooney. Lakini ukweli ni kuwa tulishinda mechi zote ambazo Fabregas hakuwepo!Arsenal ni timu sio mtu! Tatizo la jana ni mipango mibovu ya Wenga! Alitakiwa amuingize Nasri na Eboue dakika ya 45!