Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
tatizo mkuu sizungumziii mechi moja nazungumzia in general.Sio kweli, kulikuwa na creativity kubwa sana ile siku Nasri alipopiga lile goli tamu! Nasema tena: Gunners ni timu sio mtu. Hata akienda Barca huyo dogo sisi tutapeta tu. Tena in 1 or 2 years Diaby atamature na hapo ndio utaelewa kwa nini Monseur ni bingwa wa kukuza vipaji!
gunners ni timu mkuu na naona tofauti yangu na wewe ni kwamba mimi nasema kwamba tunauwezo wa kuperform zaidi ya sasa na kuifunga timu yoyote duniani kama tutakuwa aggressive kila game.huwa tuko so much relax tuwe tumefungwa au tunaongoza badala ya kufinish games.
wachezaji wetu wanahitaji ku-fight zaidi kama tunataka kuchukua kombe.
mkuu kutofautiana mawazo ni kitu chaz kawaida,kusema kweli mechi ya jana mimi imeniuma sana ukiangalia na nafasi tuliokuwepo na jinsi kombe lilivyo open sasa hivi.
tuko kwenye title race,tunaongoza goli 1 dakika ya 90 tunaenda kumaliza kwa draw ni vigumu sana kuchukua kombe kwa njia hii.lazima tuoneshe nia na kupigana mpaka dakika ya mwisho.
na alichosema belo kwa style ya jana hata kama mechi ziwe na pompey tunaweza tusishinde ni kweli kwani tuko so much relax.kombe bado liko open lakini lazima tupigane hadi mwisho hakuna kulala wala kuzarau mechi yoyote.