Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sometimes you use your football skills, ushabiki pembeni.......
Barca wanacheza mpira mzuri, kama Arsenal sema Barca wanatuzidi kwenye mbinu...... Kuna article niliisoma kuhusu mechi ya leo, jamaa alisema kunawezekana Arsenal wakapata majeruhi wengi mno.......mpaka sasa wawili!!!!!!!!!!🙄

Yaah mkuu, anyway....ngoja tuone dkk 45 za kipindi cha pili......mtaani wakasema leo ndani ya kipindi cha kwanza Arsenal 0 Barcha 4........Waliosema hivyo nawa dedicatia wimbo wa HAO HAO NI .......darasa la kwanza enzi zile za miaka ile

...watu bwana,...

kila siku hapa mnapiga kelele oooh 'nyie Arsenal chenga twawala tu, mpira magoli!', leo imekuwaje tena mnaikandia Arsenal kwakuwa Barcelona wana 70% Possession? 😀

Loosers!

OK! 1-0 though!
 
...ama kweli Diaby leo amegeuka excess baggage 🙂...
kaacha kabisa kujituma maskini...
 
it is all over,...
kama Chelsea vile...😀
 
...nadhani it's a good Omen Fabregas hatacheza Nou Camp... kama Thierry Henry ambavyo inamuwia ugumu kucheza Imarati leo...

Welcome back Thierry...🙂
 
...nadhani it's a good Omen Fabregas hatacheza Nou Camp... kama Thierry Henry ambavyo inamuwia ugumu kucheza Imarati leo...

Welcome back Thierry...🙂

He looks like your 12th player!..lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom