Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Bado Barca kukamilisha another trophiless season..
Natafuta kibatani cha Ziiii sikioni...Wanga bana,utawajua tu....Bingwa atajulikana May.Bado tupo kwenye title race.........hahaaaaaaaa
Bado Barca kukamilisha another trophiless season..
Siyo mbaya sana,we are still on the race..Ila Nasri kakosa goli kipumbavu sana
hatujui kupoteza mda.Duuuuh, yaani hizi dkk za majeruhi kwanini zisiwepo?....sio mbaya........... jamaa watakuwa na 71 na 72 sisi 68............
Ni lini mliacha kuwa wazembe..lol
Kila timu inafanya uzembe bana...Ndo maana hakuna hata timu moja ambayo haijapoteza game....Hivi ni kwa nini unawachukia sana Arsenal mkuu??,why not Man Utd or Chelsea?,wamekukosea nini aisee...Maana kama ni hao Rassoneri(unayodai timu yako mbona hatuna uhasama nayo........)....aaaaaargh
Ngosha unaota ndoto za mchana..Chelsea wako mbele 4 points..Man U baada ya mechi ya leo itakuwa 5 points ahead..malizia zimebaki mechi ngapi? lol
Ngosha na wengineo ntarejea kwenye thread yenu kumtembelea mgonjwa ICU baada ya first leg na Barca, baada ya 2nd leg ntakuja kuaga marehemu, maana mnadai eti nyie na Barca ni kulwa na doto..lol
The bubble went bust at Birmingham in 2008, is this the repetition?!!
Hahaaaaa...West Ham United(Home),kisha wanafuata Birmingham(Away),Wolverhampton(Home),Tottenham Hotspur(Away),Wigan Athletic(Away),Manchester City(Home),Blackburn Rovers(Away) na tunamaliza ligi na Fulham nyumbani Imarati...Patamu hapo
Which one do you fear the most among those?
Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.
fulham mbaya nyumbani kwao away hatishi wala nini.
Spurs hawana kitu wale jirani zetu tutawachapa tu. Mkuu umesahau kwamba vijana wamepewa ultimatum kwamba ni lazima washinde mechi zote zilizobakia ili wahesabiwe?
What about Blackburn and Birmingham?
Hawatishi...Tutawafunga japo zote ni away...Simple
Itategemea na matokeo ya mechi zenu na Aston Villa,Tottenham,Man Utd na Liverpool...Kila la heri though
hizo ndio mechi rahisi kwetu...lol
Haya...tusubiri na tuone......(narudia tena) kila la heri
Six games to go!
Jirani pole sana! Lakini mbona husemi kama na wewe bado una game na Tottenham, Blackburn na Man City? Au kwenu hizo ni game nyepesi kama ya Birmingham?Haya bana,naona tayari ushakuwa Sheikh Yahya....Kumbuka tushakuwa nyuma pointi 9 na tukawakuta hao Chelsea...Football is a game of chance(and not words wala utabiri wa ninyi akina Sheikh Yahya) Mechi ya Birmingham tangu awali ilionekana kuwa ni ngumu na imekuwa ngumu haswa...So kuzidiwa point 4 na Chelsea au 5 na Man Utd si kitu cha ajabu sana...Tuna game 6 mkononi bado...Halafu kwani Chelsea wametuzidi point 3 au 4???,maana baada ya game ya leo wao watakuwa na point 71 na sie 68,Man Utd kama watashinda watakuwa na point 72(watatuzidi point 4).
Chelsea bado ana game na Man Utd na Liverpool(ngumu hizi),pia bado ana game na Tottenham,lolote laweza kutokea katika game hizi....Man Utd yeye bado ana game na Chelsea na Man City,pia bado ana game na Tottenham na Blackburn,lolote laweza kutokea kwenye mechi hizi....Hivo si sahihi kabisa kuwaondoa Arsenal kwenye title race eti baada ya sare ya leo na Birmingham
Dose ndio kama hivyo yaenda ikiongezeka kutoka 5 mpaka 7, lakini itabidi tuwapunguzie dose Manure maana si wagonjwa sana! Hahahahaha!Hahaaaaaaaaaaaa,safi sana jirani....Hii ligi ni ngumu sana ndugu yangu,yaani kadiri siku zinavyoenda ndio inakuwa ngumu....Vipi kuhusu game yenu ya Jumapili ijayo???