Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Jirani pole sana! Lakini mbona husemi kama na wewe bado una game na Tottenham, Blackburn na Man City? Au kwenu hizo ni game nyepesi kama ya Birmingham?
Asante...hapana,nilitaka tu kumuonesha Mpemba jinsi aisvyo sahihi kusema kwamba hatupo tena kwenye title race,ndo maana nimemwambia kwamba bingwa atajulikana May,hao Man Utd na Chelsea(ambao tayari keshawapa nafasi ya ubingwa) nao wanaweza kuteleza(football is a game of chance bana na si porojo mingiiii),kwa mfano Jumapili ijayo Man Utd anacheza na Chelsea na sisi Jumamosi tunacheza na Wolverhampton...Matokeo ya mechi yenu na Man Utd yanaweza yakatusadia sisi kupunguza gap(Chelsea wanatuzidi point 3 na endapo Man Utd watashinda leo watatuzidi point 4),hiiitatokea endapo Man Utd au Chelsea atafungwa.....So hata sisi tuna game ngumu mkuu,lolte laweza kutokea katika game hizo(hata za Man Utd na Chelsea)....Hivyo ni vigumu kuanza kusema Arsena ubingwa bye bye...Pamoja jirani