BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,329
hakuna game rahisi wakati huu wa ligi,kila mtu anapigania nafasi nzuri.
Naam AW huo ndiyo ukweli wa mambo. Katika mechi hizi chache zilizobaki ukidharau mechi tu kutokana na position ya team unayocheza nayo katika league unaweza kujuta.
Mechi zote zilizobaki ni ngumu. Nasikia Van Persie anakaribia kurudi kama ni kweli basi anaweza kusaidia kuongeza nguvu katika mechi zilizobaki na labda kwenye UEFA. Go GUNNERS Go!