Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
sare itakuwa safi sanaaaaa.Matokeo ya mechi hii ni muhimu sana kwetu(watoke sare ama mmoja wao afungwe) Inabidi tujitahidi tuwafunge Wolves Imarati,tukishinda mechi ijayo itatusadia kupunguza gap na kumkaribia yeyote atakayefungwa Jumapili,wakitoka sare tutakuwa tumepunguza gap la point 2...Hahaaaaaaaaa