Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ngumu sana hii,kipindi cha kwanza kimekuwa kigumu mnoo...Halafu huyu Refa huwa simpendi kabisa,sijui kwa nini....
 
Dalili za mvua huwa ni mawingu na mcheza kwao ......(it applies to some weak teams)
 
Game ngumu sana hii,kipindi cha kwanza kimekuwa kigumu mnoo...Halafu huyu Refa huwa simpendi kabisa,sijui kwa nini....

Yaani Jarome anavyocheza nahisi tumboni sina utumbo....anaweza kutuangamiza tusipokuwa makini.....
Umesikie eti "stazz yafanya kufuru shambani kwa bibi leo,yaichapa somalia 6-0"??
 
Yaani Jarome anavyocheza nahisi tumboni sina utumbo....anaweza kutuangamiza tusipokuwa makini.....
Umesikie eti "stazz yafanya kufuru shambani kwa bibi leo,yaichapa somalia 6-0"??

habari ndio hiyo tumeokota mkoba wa muuza mirungi!!
 
Hebu tuondolee gundu hapa ebo?.......Subiri game yenu baadae ndo uanze usheikh Yahya Hussein wako....

Punguza hasira ndugu kwani nawe utakaribishwa kuchangia wakati tukiwa ICU tunafanya Operation ya upasuaji...kama kutakuwa na mapungufu ruska kunena mana mdomo haulipiwi kuzungumza
 
Yep sasa kidogo mambo yanakuwa sawa lakini hivi vigoli vichache vinaweza kutucost huko mbele ktkt hii tight title race
 
Siyo mbaya sana,we are still on the race..Ila Nasri kakosa goli kipumbavu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom