Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Lakini viungo wenu wanafunga magoli mengi.
Wanafunga sawa...Ndo maana wanaumia mnoo,wanafanya kazi mara mbili kuzuia mashambulizi,kupanga mashambulizi na kwenda mbele kufunga....Tunahitaji mshambuliaji sasa,aina ya Ian Wright,Dennis Bergcamp,Nicolas Anelka,Thiery Henry,Didier Drogba,Wayne Rooney ama Fernando Torres