Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaaaaa...West Ham United(Home),kisha wanafuata Birmingham(Away),Wolverhampton(Home),Tottenham Hotspur(Away),Wigan Athletic(Away),Manchester City(Home),Blackburn Rovers(Away) na tunamaliza ligi na Fulham nyumbani Imarati...Patamu hapo
Which one do you fear the most among those?
 
Wenger wapige darsa watoto hao,naona bado wanaleta leta utani game leo walitakiwa waimalize mapemaa.

sema pengo la Song linaonekana na tunashukuru kamaliza kifungo chake anarudi.fabregas nae atakuwa tayari mechi hijayo.
 
_47467732_hullredcard341.jpg

Hull's George Boateng is given two yellow cards in the space of three minutes. After being booked for some off-the-ball disagreements with Nicklas Bendtner, Boateng catches Bacary Sagna with a wild challenge and sees red.

_47467519_arsenal766ap.jpg

Hull 1-2 Arsenal: Andrey Arshavin gives Arsenal the lead in the late kick-off at the KC Stadium. The Russian stumbles through the challenge of Hull defenders before firing low past Boaz Myhill

_47467626_hullpen766ap.jpg

Controversial scenes at the KC Stadium. Jan Vennegoor of Hesselink is offside when he receives the ball inside the area but ref Andre Marriner plays on and Sol Campbell bundles him over. Jimmy Bullard smashes home the penalty
 
Which one do you fear the most among those?

Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
 
Umeshasahau mara hii umetaka kufanywa nini na Hull wakiwa 10 kwa almost an hour??!! Hakuna mechi rahisi my broda!
kabla mechi kuna post niliweka na nilisema kwamba mechi ngumu ya leo.mpira dakika 90 na tumemaliza tumepata ushindi.

issue ya hull kuwa 10 sio tatizo uliwaona sasa jinsi walivyoweka bus golini? yani unawasifia kuchezewa nusu uwanja? wao walikuwa wanatafuta draw sisi tulikuwa tunafuta ushindi.
 
Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.

fulham mbaya nyumbani kwao away hatishi wala nini.
 
Mkuu usiwakumbushe habari za RVP watapata kichaa.
 
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.

fulham mbaya nyumbani kwao away hatishi wala nini.

Spurs hawana kitu wale jirani zetu tutawachapa tu. Mkuu umesahau kwamba vijana wamepewa ultimatum kwamba ni lazima washinde mechi zote zilizobakia ili wahesabiwe?
 
Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
What about Blackburn and Birmingham?
 
Wenger wapige darsa watoto hao,naona bado wanaleta leta utani game leo walitakiwa waimalize mapemaa.

sema pengo la Song linaonekana na tunashukuru kamaliza kifungo chake anarudi.fabregas nae atakuwa tayari mechi hijayo.

Tatizo Arsenal hatuna mshambuliaji kwa sasa,mshambuliaji RVP ni mgonjwa,hawa wengine sijui niwaite viungo ama,maana hawana kabisa uchu wa magoli mithili ya Rooney,Drogba ama Torres,hawa wao ni kutaka tu kumpiga chenga mpaka kipa ndo wafunge...Tunahitaji mshambuliaji anayejaribu kufunga hata akiwa nje ya 18(angalia goli la 2 leo ilitokea jamaa(Denilson i think) kajaribu nje kabisa ya 18 kipa katema Bendtner kafunga kiulaiiiiiini),tunahitaji mshambuliaji mwenye nguvu sasa...
 
Lakini viungo wenu wanafunga magoli mengi.
 
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.

fulham mbaya nyumbani kwao away hatishi wala nini.

Fulham nawaogopa kwa sababu ni game ya mwisho so lolote laweza kutokea
 
Tatizo Arsenal hatuna mshambuliaji kwa sasa,mshambuliaji RVP ni mgonjwa,hawa wengine sijui niwaite viungo ama,maana hawana kabisa uchu wa magoli mithili ya Rooney,Drogba ama Torres,hawa wao ni kutaka tu kumpiga chenga mpaka kipa ndo wafunge...Tunahitaji mshambuliaji anayejaribu kufunga hata akiwa nje ya 18(angalia goli la 2 leo ilitokea jamaa(Denilson i think) kajaribu nje kabisa ya 18 kipa katema Bendtner kafunga kiulaiiiiiini),tunahitaji mshambuliaji mwenye nguvu sasa...
kweli kabisa mkuu,na wanacho nishangaza mimi nafasi za kupiga mashuti ya nje ya 18 wanapata nyingi tu sema ndio ubitozi unawafanya wanatoa pasi hata kama mtu kakabwa.

arshavin alikuwa mtu wa kujaribu alipokuja nae kashapotea sasa.
 
Vermaelan ni defender aliyefunga magoli mengi hadi hivi sasa kwenye Premier League. Arsenal walikuwa wanaongoza kabla ya mechi za leo kwa kufunga magoli mengi kuliko timu yoyote. Arsenal hakuna mchezaji wake aliyeonyeshwa red Card hadi hivi sasa.

Wapinzani hizo starts zinatisha ... ... teh teh teh ....Then hatuna centre forward kwa karibu msimu mzima.
 
Back
Top Bottom