Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umakini ilikuwa tatizo nadhani kukosekana kwa carzola ni Shida sana mesut anakuwa anapata shida sana kucheza kwa uhuru
 
Tunatarajia ushindi mkuu

Mentor jifurahishe sasa hivi, next few weeks mtarudi mlipotoka.

Arsenal ameanza kuingia kweny siku zake.

Too many games ahead. Liverpool, Chelsea watapoteza a good form at some point. Ngoja hii nuksi ya November ipite. I take 5 points from our November games Spurs, Manchester United & Bournemouth if given yesterday.

Haikuwa penati kabisa ile basi tu refa kawabeba tayari.

Mkuu shukuru Mungu hawa jamaa hawapo sissoko , dele ally,lamela (Kane,walker hawapo 100 fit) spurs sio wa mchezo mchezo
Mashabiki wa arsenal wote ni chicken head, kila mwaka wanawaza ubingwa alafu baadae wanapoteana.

Ngoja nitafute post za mwaka jana hasa walipomfunga bayern uefa
 
Mkuu shukuru Mungu hawa jamaa hawapo sissoko , dele ally,lamela (Kane,walker hawapo 100 fit) spurs sio wa mchezo mchezo
na bila spur kujifunga si ajabu hata hilo goli moja wasingelipata.
 
So its NEVER au?

Naona tunaweza kumaliza mwaka tukiwa juu. Msimu huu tusipoondoka na makombe 3 nitauza Bajaj yangu.
Ile bajaji ulimuuzia nani mkuu? Au mkoPoka?

Inawezekana hata mwaka huu mkatembea kwa azimio la arusha eti mkuu?

k

Barcelona atakalishwa tu. Tutawawashia moto kama serikali ya Magufuli inavyowawashia watu wa TRA na Bandarini.

Waambie hao.

Arsenal thread imepata piers morgan mpya....
Kwiiii kwiiiiii kwiiiiii inawezekana morgan anasemaga ukweli,

Kama unaona wenger na bodi nzima ya arsenal inakukera hama timu

kwani mama yako au baba yako Arsenal
mbona mi naipenda na matokeo yake kama ilivyo

Leicester the defending champion.
Top of the league in 2015..... COYG!!!!!!!
At the end ilikuaje?
Mwaka huu wetu..COYG...............
Hata hizi ni siku zenu.

Tunabeba trophy msimu huu, Nani anaibisha! ? Hao waliospend money wako wapi? Arsenal kinachotucost mara nyingi ni majeruhi! Lakini msimu huu wetu!
Ni kweli mlibeba
#chickenhead#
huyu @MkoPoKa akiwa rafik yako huwez kufungua hata mradi wa karang...the guy is too pessimistic
Chungu lakini dawa.
Oya! Kuna chochote positive unakiona kwa The Gunners? Nimeona komments zako, nenda barcelona Fc, itakufaa angalau kwa sasa.
Mbona umepotea jukwaani bandugu?
 
Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
Ni post [HASHTAG]#47716[/HASHTAG] december ya february august huko, toka hapo sijakuona tena jukwaani
 
Ni post [HASHTAG]#47716[/HASHTAG] december ya february august huko, toka hapo sijakuona tena jukwaani
For future reference ukiona mtu ameandika "ahem" baada/katika ya sentensi yoyote ile ujue alichoandika /kusema ni a joke you shouldn't take what was said serious . Ahem ni ishara ya kujikohoza kimatani. Sikuwa serious(I was joking )
Cc Belo
 
For future reference ukiona mtu ameandika "ahem" baada/katika ya sentensi yoyote ile ujue alichoandika /kusema ni a joke you shouldn't take what was said serious . Ahem ni ishara ya kujikohoza kimatani. Sikuwa serious(I was joking )
Cc Belo

Naona tunaweza kumaliza mwaka tukiwa juu. Msimu huu tusipoondoka na makombe 3 nitauza Bajaj yangu.
ahem
 
Nashindwa kuelewa hawa anti Arsenal yaani kutoa draw vs Spurs kumewapa la kuongea as if tumefungwa. Kumbukeni ilikuwa ni NLD match, derby yenye ushindani (within a town) kuliko zote EPL , pia Spurs hawakuja hawakutaka wapoteze two games in a row (Ref UCL defeat ), vile vile Arsenal is just 2 points behind Liverpool after only 11 games played. Mnachonga as if tupo 8/6 points behind. Anyway if that can put you to sleep I guess it's okay ...lol

CC Legeza mwendo
 
Tatizo mmekua waongo kupindukia, kila mwaka mnatuambia lazima tuwe mabingwa lakini hatuoni kitu, mwanangu aliyezaliwa kipindi mnachukua ubingwa mara ya mwisho kishamaliza darasa la saba mwakani atakua form one
 
Hawawezi pata usingizi they wont feel sleepy ilo wazi kuwa so far arsenal inawanyima usingizi
 
Tatizo mmekua waongo kupindukia, kila mwaka mnatuambia lazima tuwe mabingwa lakini hatuoni kitu, mwanangu aliyezaliwa kipindi mnachukua ubingwa mara ya mwisho kishamaliza darasa la saba mwakani atakua form one
Hizo ni hopes mkuu. Waziri mkuu aliwaahidi atahamia dodoma September na bado hajatekereza ila hatukusikii ukimuuliza
 
Hizo ni hopes mkuu. Waziri mkuu aliwaahidi atahamia dodoma September na bado hajatekereza ila hatukusikii ukimuuliza
Tafuta kisingizio kingine PM ameshahamia Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…