sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Hahahaa....Kama leo.
Hahahaa....Kama leo.
Leo maneno yangu nayarudisha......leo mmeshinda hongereni.Maneno yako.
Wewe utakuwa mbadala wake endapo hatapatikana.Kwenye hili ni bora tu mtafute MziziMkavu nadhani huyu alitabiri kutokea tetemeko la ardhi Tanzania.
Ulikua unamaanisha mustafi au laurent konscielinyNadhani sasa tunaweza anza kumzungumzia Costa, mwenye macho ya magoli,
Stay gooner be brave trust ur pistol ur better than thisSina matumaini leo. Gundu vs Chelsea na wale manyang'au wengine sijui litaisha lini. Ngoja tusubiri tuone
Hivi karibuni sioGame nyingi za arsenal vs Chelsea hivi karibuni zimekua zinaamuliwa na mbinu za costa
Sasa hapo ndipo umeongea kisportNina imani sana na ukuta wa Mustafi na Boss...
Inawezekana AW amemuanzisha Coq kwa ajili ya kuimarisha defence...
Amebadilika sana angalia vizuriCoquelin big mechi haziwezi, cha ajabu Wenger huwa anampanga tu
AlitolewaAmebadilika sana angalia vizuri
TrustSijui Gundu ndo limeisha leo au ni linanukia kuisha... labda tutajua tutakapowagonga wale manyang'au wengine.. Back to 3rd.
Tatizo ulilo nalo ndugu yangu katika emrates ni kukosa imani na kikosi cha mzeeMechi tuliyocheza vizuri off the ball kuliko zote msimu huu ni hii. Tungetumia nafasi (hasa Walcott) vizuri tungewagonga 4 au 5 leo.
Utamuelewa xhaka narudia tena utamuelewa xhakaNimefurahishwa na backline ya the gooooons, huyu Mustafi anaweza kufanya clearances vizuri sana, nadhani anaanza kutengeneza combo nzuri sana na Laurent. Right & left back pia wamecheza vizuri.
Nadhani midfield ya Coquelin - Carzola ni nzuri kuliko Xhaka - Carzola. Labda jamaa hawajafahamiana vizuri, tuna options nyingi sana katikati.
Lastly, Iwobi anaifurahisha kila nikimuona akicheza. Very talented youngster.
Kwa kuumiaAlitolewa
Ushindi wenu leo ni droo na si zaidi.
Sibahatishi naijua arsenal mkuu nadhani umepata majibu ...Wamelowa mbaya the bluiz hadi aibu..... hivi conte alikuwa analia amaaaaa [HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]Poa.
Wameshalia mkuuDah mimi hii mechi nimeimiss....hapa najiandaa niende kanisani kwenye misa ya harusi ya broo.
Natumai nitapata updates zote hapa......na ushindi ni wetu.