Airforce
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 299
- 96
![]()
Arsenal wamecheza mchezo wao wa kawaida na it paid off.
Chelsea wamecheza kupakia basi na kutaka kumtumia Diego Costa kufanya counter attacks.
Tusubiri kipindi cha pili je Chelsea watatoka eneo lao? Maana wamefungwa kwa kutumia mchezo wa kujihami.
Wakitoka sana ni karamu ya magoli kwa Arsenal.
Mkuu, Herrera upo?




