xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Game nyingi za arsenal vs Chelsea hivi karibuni zimekua zinaamuliwa na mbinu za costaAhaha! Herrera, Fabregas hatasumbua sana.
Game nyingi za arsenal vs Chelsea hivi karibuni zimekua zinaamuliwa na mbinu za costaAhaha! Herrera, Fabregas hatasumbua sana.
Wanapiga PESA![]()
Naona akina mama wajasirimali wapo kazini hapa nje ya Emirates.
Same here...Huwa sielewi lengo la Wenger ni nini?...Wenger hapa ndipo watu huwa tunashindwa kabisa kumwelewa logic yake, ya kuanza na Coquelin badala ya Xhaka.
Game nyingi za arsenal vs Chelsea hivi karibuni zimekua zinaamuliwa na mbinu za costa
Nina imani sana na ukuta wa Mustafi na Boss...Arsenal watakuwa aware na conter attack za Chelsea ambao wana Fabregas, Willian na Hazard. Diego Costa atakuwa anapewa long balls za hawa wachezaji watatu.
Itawasumbua Arsenal mwanzoni lakini kadri muda utakavyokwenda Arsenal bila kujibu uchokozi wa Costa wataweza kuwadhibiti Chelsea.
Ngoma inaweza kuishia na sare au mmoja atakaeanza kufunga,bado goli linaweza kurudishwa kutokana na kasi ya mchezo wa timu zote mbili.
AsanteWetu hawa leo Mkuu 3-0. Kaa mkao wa kula 34 minutes to go.
Nina imani sana na ukuta wa Mustafi na Boss...
Inawezekana AW amemuanzisha Coq kwa ajili ya kuimarisha defence...
Coquelin big mechi haziwezi, cha ajabu Wenger huwa anampanga tuSame here...Huwa sielewi lengo la Wenger ni nini?...
Labda anamuanzisha Coquelin kwa sababu ni Mfaransa mwenzie...
Hajifunzi huyu mzee...
acha lawama huyo ni kata umemeCoquelin big mechi haziwezi, cha ajabu Wenger huwa anampanga tu
Tutolee gundu lako hapaHata kama chelsea wakichezesha Taifa stars,Arsenal watafungwa tu.

Leo nipo hapa. Nawaombea droo ila mkifungwa sio mbaya sana.Tutolee gundu lako hapa![]()
![]()
![]()
![]()
Na wewe umekuja na gundu hapa.Leo nipo hapa. Nawaombea droo ila mkifungwa sio mbaya sana.
