Nimebaki nashangaa kuna ID mpaka najistukia labda mimi ndio mgeni labdaNaona wageni wameongezeka humu....
Thibitisha kuwa wewe si mgeni. Unamjua Wacha1?Nimebaki nashangaa kuna ID mpaka najistukia labda mimi ndio mgeni labda
Hahaha pole Naona umekua mwepesi kudanganyika na ID sio pole manThibitisha kuwa wewe si mgeni. Unamjua Wacha1?
Rafiki wa Wacha1 kule ze bluuzz anaitwa nani?
Khe khee kheee, kwe kwee kweeeeeeee.
Shkamoo kaka,sio kwa 'Usheikh Yahya' huuWetu hawa leo Mkuu 3-0. Kaa mkao wa kula 34 minutes to go.

Niliona asante.Wameshalia mkuu
Mmebahatisha leo.Sibahatishi naijua arsenal mkuu nadhani umepata majibu ...Wamelowa mbaya the bluiz hadi aibu..... hivi conte alikuwa analia amaaaaa [HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]
Alwayz a goonerDuuuuh kitaa hiki nimekikimbia long time sana.
But once a Gooner![]()
![]()
.
Nimefurahi sana kwa ushindi wa leo.
Hahahaaa........mmefuta uteja wa siku nyingi.Bahatishen na nyie..
![]()
![]()
Wewe mwenyewe hushangai ID yako?Nimebaki nashangaa kuna ID mpaka najistukia labda mimi ndio mgeni labda
Wenger in? Wenger out?Kama kawaida tushasahau....Wenger anajua!
Kama kawaida tushasahau....Wenger anajua!
Wenger anajua....at the same time anatujulia.Nimekuwa nikijiuliza hivyo
Kelele za Wenger should go zimeisha
Mkuu @Eli9 uzuri kwa sasa hata timu ipangwe vipi, bado sub kuna WATU. Huyu dogo IWOBI ana vitu flani kama Kanu, anajua KUUFICHA!Nimefurahishwa na backline ya the gooooons, huyu Mustafi anaweza kufanya clearances vizuri sana, nadhani anaanza kutengeneza combo nzuri sana na Laurent. Right & left back pia wamecheza vizuri.
Nadhani midfield ya Coquelin - Carzola ni nzuri kuliko Xhaka - Carzola. Labda jamaa hawajafahamiana vizuri, tuna options nyingi sana katikati.
Lastly, Iwobi anaifurahisha kila nikimuona akicheza. Very talented youngster.