Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nipo mbele ya luninga kuangalia huu mchapo ambao tuliusubiri kwa hamu kuu. Results nizitakazo ni draw ya 0-0, lakini hawa Leicester wameanza kufanya madudu yao kama yale waliyoyafanya mwaka jana. They want to prove to prove to the whole football World that it was not a fluke, but they are for real. Wakiweza kucheza kama timu leo basi kazi mnayo tena si ndogo. Enjoy the game guys...all JF football fans.

Mnastahili droo na si zaidi wandugu.......ili mtuache Manchester tushindane wenyewe kwa wenyewe.
 
Nipo mbele ya luninga kuangalia huu mchapo ambao tuliusubiri kwa hamu kuu. Results nizitakazo ni draw ya 0-0, lakini hawa Leicester wameanza kufanya madudu yao kama yale waliyoyafanya mwaka jana. They want to prove to prove to the whole football World that it was not a fluke, but they are for real. Wakiweza kucheza kama timu leo basi kazi mnayo tena si ndogo. Enjoy the game guys...all JF football fans.
Dah mimi hii mechi nimeimiss....hapa najiandaa niende kanisani kwenye misa ya harusi ya broo.

Natumai nitapata updates zote hapa......na ushindi ni wetu.
 
Line-up jamani, hivi Xhaka ataanza leo? Midfield yetu leo itakuwa na nani, maana kuna battle na Kante, sijui ni Carzola - Coquelin, Carzola - Xhaka, Xhaka - Coquelin. Ngoja tuone.
 
Arsenal vs Chelsea:

Team news

Arsenal: 33 Cech 24 Bellerín 20 Mustafi 6 Koscielny18 Monreal 34 Coquelin 19 Cazorla 14 Walcott, 11Özil 17 Iwobi, 7 Sánchez

Bench: 3 Gibbs 9 Pérez Martinez, 12 Giroud,13 Ospina,15 Oxlade-Chamberlain, 16 Holding, 29 Xhaka

Chelsea: 13 Courtois 2I vanovic 24 Cahill 30 DavidLuiz , 28 Azpilicueta, 7 Kanté, 21 Matic, 22 Willian, 4 Fàbregas, 10 Hazard, 19 Diego Costa

Bench: 1 Begovic, 3 Alonso , 8 Oscar, 11 Pedro, 15 Moses, 23 Batshuayi, 29 Chalobah

Mwamuzi ni Michael Oliver.
 
Arsenal vs Chelsea:

Team news

Arsenal: 33 Cech 24 Bellerín 20 Mustafi 6 Koscielny18 Monreal 34 Coquelin 19 Cazorla 14 Walcott 11Özil 17 Iwobi, 7 Sánchez

Bench: 3 Gibbs 9 Pérez ,Martinez, 12 Giroud,13 Ospina,15 Oxlade-Chamberlain, 16 Holding, 29 Xhaka

Mwamuzi ni Michael Oliver.
Kwa nini Xhaka anaanza bench?
 
Ila leo kama tutakuwa na concentration tunashinda game sema Fabregas ndo atatusumbua kama ataanza
 
Arsenal wanakwenda na mtindo wa wa kawaida wa 4-2-3-1 ambapo Santi Cazorla na Francis Coquelin wanakuwa nyuma ya Ozil, Walcott na Alex Iwobi huku Alexis Sanchez akiwa mshmabuliaji mbele.

Chelsea wanakwenda na mtindo wa kujilinda wa 4-1-4-1 ambapo wachezaji wa kiungo Fabregas, Willian , Matic na Hazard wanakuwa mbele ya N'gplo Kante ambae atalinda sehemu ya kati ya kiungo.
 
Back
Top Bottom