Giroud is better than Cavani
He is an imbecile
Giroud for
Link yako imezimika muda mzuri wakati mpira umeisha mmeshinda {Point 1}
Giroud ana gundu na washabiki wa Arsenal, auzwe tuu aje Andy Carroll
Unaona mwingine wa kudandia bandwagons huyu hapa...
Giroud ni mbovu mkuu... Haihitaj macho mawili kutazama kugundua hilo ..Giroud sio mbovu tatizo Wenger hajawahi kusajili striker mfungaji kuliko Giroud ili ampe presha.Walcott,Wellbeck,Perez, Campbell hakuna anayemzidi Giroud
Giroud ni mbovu mkuu... Haihitaj macho mawili kutazama kugundua hilo ..
Kimya![]()
Na nyie mbona siwaoni![]()
red card ya giroud..haina madhara yyte kweny team..bcz hatusaidii chochote inshort hana impact yyte kweny teamPSG 1 Arsenal 1
Leo Arsenal kwa mara ya kwanza imefanya jambo la maana sana kupata point 1 ugenini na itakuja kutusaidia sana.
Olivier Giroud nae alipoingia kipindi cha pili hakuweza kuvumilia visa vya verratti na wote wakatolewa kwa kadi nyekundu baada ya mwanzo kuonyeshwa kadi za njano.
![]()
Olivier Giroud alipewa kadi nyekundu mbele ya meneja Arsene Wenger.
Hakuwa na support toka kwa left wing, siku hizi beki tatu anasaidiwa kiulinzi na winga wa kushoto. Oxlade hakuwa anarudi nyuma kumsaidia ulinzi. Hata pundits wengi huko ulaya wamelisemea hilo. Huwezi kumlaumu Nacho kwa yale magoli. Hata hivyo, kama ukiangalia alisaidia sana tusifungwe kipindi cha pili.Always naamini Nacho Monreal ni tatizo mno kwenye beki ya Arsenal angalieni magoli yote yanatoka upande wake
Hakuwa na support toka kwa left wing, siku hizi beki tatu anasaidiwa kiulinzi na winga wa kushoto. Oxlade hakuwa anarudi nyuma kumsaidia ulinzi. Hata pundits wengi huko ulaya wamelisemea hilo. Huwezi kumlaumu Nacho kwa yale magoli. Hata hivyo, kama ukiangalia alisaidia sana tusifungwe kipindi cha pili.
Wapi Wacha1?Kesho pointi 3 muhimu turudi tunapostahili.