Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mzee Wenger sijui Hua anafikiria nini timu iko uwanjani bila striker na katulia tu,nilazima aingize watu wanguvu giroud xhaka Jamaa kwenye nguvu wametuzidi.tutengeneze uwiano kiasi
 
Prof anahitaji kurudi shule... Hii line up ya leo sijaielewa. Utadhani tunacheza na Chelsea, Man Utd, Citey wikiendi hii.

Usiwe na wasiwasi na mbinu za Prof

maxresdefault.jpg
 
Mambo yenyewe kama ndiyo haya tutawapigia denge kina nanilii ndani ya Europa
 
Arsenal cant go anywhere without a real Striker. Sanchez is not playing as one.
 
Mtanipa matokeo. Nakwenda kuongea na Mazufuri Akida Mazufuri.
 
Combination ya Mustafi na Koscielny bado sijaiona kama nzuri... Holding angeendelea kupewa nafasi.
 
Back
Top Bottom