Hahahaha wataanza kumsifu Wenger sasa
Wenger is a ghod.
Naona Wenger anataka kutopoteza point moja hii. Packing the bus with 4 Midfielders. hahahahaHahahaha usifanye mchezo na mbinu za kivita za Prof
PSG watu tumekuja Paris kula maisha msituangushe jamani
Cavanni funga lingine basi
Fk Diz!! Sasa wataanza kumtukana Giroud.. Kulaleki link yangu imefreeze kama pesa za bandarini.
Cavan is a SHIT aiseeee
He is an imbecileNashindwa kuelewa kwa nini watu hawampendi na ku-appreciate Giroud. Tangu aingie tunaonekana kucheza kama timu yenye CF.