UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Dont worry niko na BOLD team inayojua pursopse yakewenger hahahhahha mbona kinyonge mkuu
Dont worry niko na BOLD team inayojua pursopse yakewenger hahahhahha mbona kinyonge mkuu
Dont worry niko na BOLD team inayojua pursopse yake
Hana uwakika.......wakitoka droo utaona watakavyoshangilia.wenger hahahhahha mbona kinyonge mkuu
Unatafuta watu we mwanamkeHana uwakika.......wakitoka droo utaona watakavyoshangilia.
Kwa nini asingemwachia Carzola? Penalty taker wetu ni Carzola kwa sasa..Alexis anakosa penati,Hull city wako pungufu kwa red card.
TUSHA CHAPA MTU HAPAusijihisi mnyonge arsenal inapita katika mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani yatimu,pili wachezaji wengi ni wageni katika kuhimili mikiki ya ligi ya ulaya hata uingereza omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini mabadiliko utayaona tatu majeruhi mengi ni kwa wakongwe ambao tulitegemea ndio wangeweza kuwapa ujasiri wegeni vuta subira mambo yanakuja baada ya majeruhi kusimama sawa huku wageni kama unvyo ona wanaanza kutulia katika uchezaji mambo mazuri hayataki haraka
PEANUT TUMEKOSA SO MAISHA SIO MAGUMU TUTAFIKA, WIKI ILIO PITA TULIBURUZA MTU 2 KWA 1 SO WE ARE MOVINGHT
Hull 0-1Arsenal
UMEONA EEKwa nini asingemwachia Carzola? Penalty taker wetu ni Carzola kwa sasa..
HHAHAHAHHHAHAHAHJHkwanza leo liverpool anachezea kichapo kwa kuwa yule ni mteja wetu kama alivyokuwa chelsea
timu bora ni ile inayofungwa kila mara,naamini kabisa the gunner kuanzia januari hatutakamatika ni mwendo wa kichapo kwa kila timu itakayokumbana na sisi
mpaka sasa tuna pointi 9 kutoka kwa man utd, chelsea na wateja liverpool hizo tukijumlisha na ambazo tutazikusanya toka kwa vibonde wengine km bolton na wenzake naamini kabisa taji litatua EMIRATES kwa mara ya kwanza
mataji madogo kama vile fa,carling cup hayo sina nayo wasiwasi kwani tumeingia nayo ubiaaaaaaaaaaaa
Bado tuna goli zaidi ya mbili kipindi cha pili...!
NATIZAMA M. city inajichapia wazembe wa BOUFront line haiko makini mpwa.