Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Haya mtabiriArsenal mwaka huu uwezekano wa kushuka daraja ni mkubwa sana
Haya mtabiriArsenal mwaka huu uwezekano wa kushuka daraja ni mkubwa sana
Kumbe mnashinda Leo.!Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0
Asanteni.![]()
southumpton niwakamiaj sana so no vizuri sana kuwaanzisha hao bench ni muhimu mnoKama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo.
Hongereni sana kwa ushindi mkuu...Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0
Asanteni.![]()
Hongera sana.Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0
Asanteni.![]()
Shkamoo mtani...Kama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo.