Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pamoja na kuwa Arsenal wanaongoza 2-0 lakini sipendi hii slow movement style wanayocheza. Wangekuwa wanacheza high pressing quick passes tungewafunga nyingi. Hii style huwezi kucheza na timu kama Manchester City, Man Utd. Liverpool walitupatia 4-3 kwa style hii hii, hawakutupa nafasi ya kupumua.
 
Tunashindwa kabisa kutumia advantage ya Hull City kua pungufu tuko slow mpaka inakera.
 
Pamoja na kuwa Arsenal wanaongoza 2-0 lakini sipendi hii slow movement style wanayocheza. Wangekuwa wanacheza high pressing quick passes tungewafunga nyingi. Hii style huwezi kucheza na timu kama Manchester City, Man Utd. Liverpool walitupatia 4-3 kwa style hii hii, hawakutupa nafasi ya kupumua.
Yani inaboa sana kama wameridhika
 
Ni vigumu kumaliza hii game without conceding a goal. Hii pace inaudhi sana, utadhani tunaangalia golf tournament.
 
Good tumeshinda. Nimekosa kuona magoli mawili ya mwisho, nilikuwa out. Arsenal wanatakiwa kujifunza ku-keep a Clean sheet. Tumerudi nafasi ya 2 for the moment being. Hatutaweza kuwa a championship caliber team bila ya ku cut out defensive errors.
 
Nasubiri nione Everton, Spurs na Man Utd kama wataturudisha chini. Kila mmoja wao ana nafasi ya kuwa nafasi ya 2 endapo watashinda mechi zao leo na kesho.
 
Back
Top Bottom