Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtani, ondoa shaka, Arsenal wanasajili wachezaji angalau wawili kabla ya dirisha kufungwa.

Huwa hawadanganyi wakisema hivyo.

Beki atasajiliwa kabla ya mechi na Liverpool.

Mshambuliaji itakuwa siku za mwisho wa usajili.

Utashangaa Lacazette anasajiliwa tena kwa ada isiyofikia hiyo ya £40 wanayoitaka Lyon.

Usajili wa Xhaka ulikuwa ni muhimu kuliko usajili wote wa mwaka huu.

Hii ndiyo transfer policy ya Arsenal kwenye dirisha la usajili, polepole lakini ukiwa makini- slow but sure.

By the way, tegemea Vieira na Roy Keane kurudia kati ya Arsenal na Man Utd pale Xhaka na Pogba watakapokutana tena.

CpYEQWDWEAAnsv_.jpg

Its back!

541431302.jpg

Mechi kati ya Arsenal na Man Utd inasubiriwa kwa hamu.

Usajili wa Xhaka kwa Arsenal na Pogba kwa Man Utd ni wa kimkakati zaidi.

Stay Tuned.
Xhaka na Pogba kama Roy na viera inawezekana ila sio misimu hii miwili wale watu walijijenga kwanza.
 
Amesema atanunua lkn atakapo pata mchezaji anayeona atakuwa na msaada kwenye timu hasahasa strikers ingawa bado ninaamini arsenal tunakikosi kizuri tu cha ushindani mwaka huu.
Bado mpaka leo umeshindwa kuelewa kauli za wenger akiwa hataki kitu
 
Kwahiyo unadhani John Evans atarudi United?

nahisi hujanielewa, mchezaji kuachwa sio solution kwamba timu nyengine isimnunue, inawezekana akawa haendani na timu yake ya mwanzo kwa system anayocheza
 
John Evans alietemwa United? Kweli nyie timu ndogo.

Ikumbukwe hata Gerald Pique mlimtema ila kwa sasa ni moja kati ya mabeki bora zaidi duniani, na alikwenda Barcelona; sasa sijui na yenyewe ilikuwa team ndogo?

BTW John Evans hasajiliwi Arsenal kwa sasa, hizi ni media games tu...!
 
Bado mpaka leo umeshindwa kuelewa kauli za wenger akiwa hataki kitu
Namwelewa Mzee Wenger na falsafa yake ya ubahili ingawa najipa matumaini kuwa huenda akasajili hata siku moja kabla ya dirisha la usajili kufungwa ingawa hiyo ni probability.
 
Ikumbukwe hata Gerald Pique mlimtema ila kwa sasa ni moja kati ya mabeki bora zaidi duniani, na alikwenda Barcelona; sasa sijui na yenyewe ilikuwa team ndogo?

BTW John Evans hasajiliwi Arsenal kwa sasa, hizi ni media games tu...!

Pique asingeweza kupata namba mbele ya Vidic na Ferdinand.
 
M35 masihara hayaaa yaani mahrez PFA player of the year ana thamani sawa na rejected wilfried bonny wa noise neighbours
 
Usajili Updates: Arsenal bado wanazungumza na Valencia kumsajili Mustafi, Mahrez nae yumo. Wilfried Bonny huenda akasajiliwa mwishoni, hivi sasa anazungumza na Everton.
458375763.jpg

Arsenal bado wanafanya mazungumzo na timu ya Valencia kuhusu kumsajili beki Schkodran Mustafi.

Beki huyu ameachwa katika kikosi kitakachocheza leo jioni nchini Spain kati timu yake ya Valencia na timu ya Nigeria All Stars.

Valencia wanamtaka Eliaquim Mangala kutoka Machester City ili azibe nafasi ya Mustafi.

Mangala pamoja na Samir Nazri na Wilfried Bonny wameambiwa hawahitajiki na Mnachester City.

Wakati huohuo Arsenal wameongeza dau la pauni milioni 30 hadi pauni 35 milioni kwa Riyad Mahrez.

mahrz_630x354.jpg

Arsenal asubuhi ya leo waliweka mezani dau hilo na kuambiwa na Leicester kwamba hawako tayari kumwachia mchezaji huyo aende kwa mshindani wao wa karibu.

Lakini mazungumzo kati ya wakala wa Mahrez na mkurugenzi wa mpira wa Leicester yalikuwa yakiendelea.

1185.jpg

Kuhusu Wilfried Bonny ni kwamba Manchester City nao wanahofu kumwachia mshambuliaji huyo kwenda kwa mpinzani wa karibu. Hivyo wanaona ni kheri aende Everton kwa pauni Milioni 15 badala ya kuchukua pauni milioni 30 kutoka Arsenal.

Arsenal huenda wakatangaza usajili katika siku chache zijazo kabla ya mechi na Liverpool.

Habari Zaidi kuendelea kukujia.
 
Arsenal Vs Liverpool Jumapili saa 12 za jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Uwanja: Emirates.

Arsenal timu inayotarajiwa kuanza mechi:

Cech, Bellerin, Koscielyn, Holding na Monreal.

Kati ni Coquelin, Xhaka na Ramsey

Pembeni ni Alex Oxlade Chamberlain na Alexis Sanchez

Mbele ni Alex Iwobi.
 
Mazungumzo na Mustafi wa Valencia hayaishi tu? Hatuna beki wa kati wa kuziba nafasi ya Per..The Boss hajawa fiti kuikabili Liva..mbona Wenger bahili hivi?

Usiwe na wasiwasi mkuu Mustafi anakuja Arsenal na tayari ameondolewa jina lake kwenye kikosi kamili cha Valencia.

Sasa hivi wanafanya makubaliano juu ya Eliaquim Mangala beki wa Man City. wakiishaweka sawa hiyo basi wana-sanction uhamisho wa Mustafi.

Kikosi kamili cha wachezaji 23 cha Valencia:

Goalkeepers: Diego Alves, Ryan, Jaume Doménech.

Defenders: Cancelo, Montoya, Vezo, Santos, Abdennour, Orban, Gayà, Lato.

Midfielders: Enzo Pérez, Parejo, Róber, Nani, Carlos Soler, Fede Cartabia, Rafa Mir,Santi Mina, Medrán, Bakkali.

Forwards: Rodrigo, Paco Alcácer.

Leo usiku saa 5 unusu wanacheza na Nigeria All Stars kwenye uwanja wa Luis Súñerulioko mji wa Valencia nchini Hispania.
 
Dahhh nimeamini ule msemo wa once a gunner forever a gunner, huyu mzee anazingua sana ila ndo hivo tena arsenal fans wako royal sana, ingekuwa mashabik wa man u team ingebaki na familia ya graizer tu. Na huyu wenger angekuwa tanzania ata mm ningejitolea kumchoma visu vingi sana hadi awe km chujio
 
Bosi bado hajawa fit vya kutosha ingawa anaweza kucheza jumapili.

Hawa ndio wanataka Mahrez aje Arsenal.

Dau la pili la 35M likipita Mahrez anakuja Arsenal.

Itakuwa Double Swoop.

Tungoje tuone inakuwaje Leicester sasa hivi wanasikilizia hilo dau la pili.

Honestly suala la usajili kwa timu yetu nimelizoea kwa miaka mingi sana ikifika kipindi hiki ni full fiction so nimekua mtazamaji tu nahisi ishu ya Mahrez ni another heartbreaking story kwa wanao subiri iwe kweli ingawa ninacho amini Mustafi anakuja Arsenal ila hawa wengine utata na hali ilivyo sokoni dau la Mahrez litachangamka sana maana Lei wamesema kua hana release clause kwenye mkataba wake ivyo wana ubavu wa kukurupuka nimeshtuka bei ya Bolasie nikafikiria Mahrez itakuaje.
Na other source zinadai hakua bid ya Arsenal kwa Mahrez.
ImageUploadedByJamiiForums1470866380.667820.jpg

And the good news JW10 is running again Alhamdullilah.
ImageUploadedByJamiiForums1470866431.619409.jpg
 
Back
Top Bottom