HahahahahahahahaArsenal na Man city wote wanacheza kama hawataki . Kuanzia Jmosi ijayo tutapendana na kuchukiana humu.
3-2,Hapo ndo raha ya asernal..Hawawezi kulinda goli
Huwa hawajirekebishi hawaBaada ya kufunga la 3 Arsenal wakasinzia, tumeshayaona haya...
Wacha pesa iendelee kukaa bankArsene Wenger itabidi afunge biashara ya usajili wa Schodran Mustafi.
Gabriel Baptista ameumia mguu.
Mbona hujawataja Jack Wilshere na WelbeckDah hii itamweka at least miezi kama 2 out. No Per, No Gabriel no Kos mechi 2 au 3 za mwanzoni. We are faecked.
Afadhali ili asajili central defenderGabriel Baptista ameumia mguu.
Mbona hujawataja Jack Wilshere na Welbeck
Afadhali ili asajili central defender
Dah hii itamweka at least miezi kama 2 out. No Per, No Gabriel no Kos mechi 2 au 3 za mwanzoni. We are faecked.