rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Wapenzi wa Arsenal sometimes kama watoto au mademu wenye wivu kwa marafiki zao. Kila mchezaji akiumia unasikia Wenger kwa nini hukusajili mchezaji wa position hii, position ile angalia timu nyingine zinavyofanya, kila siku unajua tunahitaji mchezaji wa position hii (iwe GK, FB, CB, MF, Winger, Striker) ni manung'uniko tu. Subiri ligi ianze Ozil, Cazorla, Ramsey etc mmoja aumie utasikia mtu analalamika kwa nini hukusajili kiungo. Have a nice jumapili.