Teh! Teh! Teh! Kabakia kukosoa MANUTD ile timu kubwa.Huyu kocha wetu mzee Wenger asivyopenda kusajili sidhani kama hata laini yake YA simu amesajili
Ondoa hofu atasajili vinginevyo asahau champions ligi msimu ujao.Kwa AW hadi nione breaking news kwenye webpage ya arsenal. Otherwise siamini lolote toka kwenye mitandao.
Lewandowski bei wataweza kitita cha +£80mill?Forget about Mahrez joining Arsenal, Nadhani Mustafi na Bony watakuja ingawaje Bony is not my choice, hiyo investment siikubali, afadhali waongeze dau kumpata Lewandowski kuliko kumchukua mtu atakayeonekana flop after three matches.
Wenzio wanaangalia kesho yake siyo jana yake halafu walicholipa wanagawanya kwa miaka mitano na kuchungulia thamani ya mtaji wa kampuni imepanda au la.Investment ya $150m plus kwa Pogba!!!! hapana, hata muokota makopo atakubali he is overpriced. Sote tulimuona Italia na kwenye Euro 2016. wehu tu
AW haaminiki, lakini pia kipindi cha usajili sports pages nyingi zinaipa arsenal airtime sana. That's one thing I don't understand.Ondoa hofu atasajili vinginevyo asahau champions ligi msimu ujao.
Wanashindwa kuchukua wachezaji wa £35mil - £50mil wataweza wapi kwa mchezaji kama Lewandowski.Lewandowski bei wataweza kitita cha +£80mill?
Yasije kutokea ya Torres kwa Chelsea, Di Maria na wengine kibao, it's a business gamble.Wenzio wanaangalia kesho yake siyo jana yake halafu walicholipa wanagawanya kwa miaka mitano na kuchungulia thamani ya mtaji wa kampuni imepanda au la.
Waliposhusha hayo mahesabu wakagundua hiyo ni bingo
Ndo hapo AW anadai aogopa siku ya kustaafu lakini atakaposhindwa kuingia nne bora msimu huu ndio atajua karaha kutupiwa virago vyakeAW haaminiki, lakini pia kipindi cha usajili sports pages nyingi zinaipa arsenal airtime sana. That's one thing I don't understand.
Wanashindwa kuchukua wachezaji wa £35mil - £50mil wataweza wapi kwa mchezaji kama Lewandowski.
Ni kweli lakini hakuna mafanikio kama unaogopa kuchemshaYasije kutokea ya Torres kwa Chelsea, Di Maria na wengine kibao, it's a business gamble.
Teh! Teh! Teh! Achunge wasije kumpasua kichwa na kummalizia kabisa.*```BREAKING NEWS```*
```mahrez atimkia arsenal kwa kitita cha £30 sasa anafanya vipimo vya afya katika hospitali ya bugando![]()
Forget about Mahrez joining Arsenal, Nadhani Mustafi na Bony watakuja ingawaje Bony is not my choice, hiyo investment siikubali, afadhali waongeze dau kumpata Lewandowski kuliko kumchukua mtu atakayeonekana flop after three matches.
Wenzio wanaangalia kesho yake siyo jana yake halafu walicholipa wanagawanya kwa miaka mitano na kuchungulia thamani ya mtaji wa kampuni imepanda au la.
Waliposhusha hayo mahesabu wakagundua hiyo ni bingo
Miongoni mwa timu zilizowekeza sana kununua wachezaji last season ni ManCity, Chelsea na ManU. hebu nikumbushe ziliishia wapi kwenye table mwisho wa msimu?