Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal na maandalizi ya ligi kuu.

Arsenal wapo Finland hivi sasa wanacheza na timu ya Viking FC

Timu ya Arsenal inachocheza inawakilishwa na Ospina, Debuchy, Bielik, Gabby, Gibbs na Coquelin mbele ni Elneny, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Campbell na Theo Walcott.

CpHW_fAWIAAg47R.jpg


Aaron Ramsey amerudi yupo kwenye bench.
 
Arsenal wamecheza na vitimu vibovu vibovu katika preseason hii. Ni mechi ijayo tu vs Man City jpili ndio nayoona itakuwa ni kipimo kizuri.
 
Arsenal wamecheza na vitimu vibovu vibovu katika preseason hii. Ni mechi ijayo tu vs Man City jpili ndio nayoona itakuwa ni kipimo kizuri.

Mwaka huu hawajaweka Emirates Cup ile ilikuwa safi sana kujipima nguvu na timu kalikali za Ulaya.
 
Magoli Campbell dakika ya 33 na 59

Cazorla dakika ya 50

Walcott dakika ya 53

Wenyeji wakajifunga dakika ya 55
 
Goli lingine dakika ya 71 linafungwa na Alex Iwobi

Viking FK 0 Arsenal 6!
 
CpHn7ubXYAAtO47.jpg

Mnamkumbuka Kyrstian Bielik? naye yumo

CpHpVHDXgAAeJdh.jpg

Mmoja wa pass masters wa Arsenal Santiago Cazorla akiwa shughulini nchini Finland na timu ya Viking FK.
 
Mwaka huu hawajaweka Emirates Cup ile ilikuwa safi sana kujipima nguvu na timu kalikali za Ulaya.

Mechi kama ya leo na mbili walizocheza Marekani ni kwa ajili ya commercial/Market. Hapa ukisema unajipima nguvu kugundua uzuri au ubaya wako utakuwa unajidanganya.
 
Nasubiri nione jinsi watakavyocheza na Manchester City.

Hiyo ndiyo mechi twaisubiri khasa.

Mechi itachezwa mjini Gothenburg kwenye uwanja uitwao Ullevi.

Timu zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo:

Arsenal first XI: Cech, Bellerin, Chambers, Gabriel, Monreal, Xhaka, Coquelin, Oxlade-Chamberlain, Ramsey, Walcott, na Sanchez.

Manchester City First XI: Hart, Sagna, Otamendi, Mangala, Clichy, Fernandinho, Delph, De Bruyne, Sterling, Aguero, na Nolito.

jack Wilshere bado anauguza jeraha na Mesut Ozil, Laurent Koscielny na Olivier Giroud wote wanarudi Jumatatu.
 
arsenal-joel-campbell_3758785.jpg

Ox na Campbell wakipongezana.

theo-walcott-arsenal_3758779.jpg

Walcott akiwa busy.
alexis-sanchez-arsenal_3758823.jpg

Just for lough, Emiliano Martinez, Alexis Sanchez na Granit Xhaka wakifurahia mechi ya kujipima nguvu ya Arsenal.
 
Arsenal vs Liverpool. Giroud, Ozil and Koscielny won't be playing.
 
Hivi wenger mbona hasajili? Unaachaje mtu kama mahrez wakati team pinzani zimesajili wachezaji wa gharama
 
Dahhh nimeamini ule msemo wa once a gunner forever a gunner, huyu mzee anazingua sana ila ndo hivo tena arsenal fans wako royal sana, ingekuwa mashabik wa man u team ingebaki na familia ya graizer tu. Na huyu wenger angekuwa tanzania ata mm ningejitolea kumchoma visu vingi sana hadi awe km chujio
 
Back
Top Bottom