Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh imebidi nicheke tu,hao ambao wanaongoza ligi na hawana mechi nyingi tuna tofauti ya 2 points,na hao wanaotufata wenye kikosi kipana tofauti na sisi ambao tuna akina Gibbs K tuna tofauti ya 4 points sioni sababu ya kupiga yowe kua second leg na Hull City ndio iwe chanzo cha udhaifu wetu once inapotokea ivyo unavyoita vikwazo Manager anajua anajipanga vipi so simply huo unaouona mzigo uache mabegani mwa Arsenal wata deal nao,hapo walipo haujui walifikaje maana juzi tu mlipiga kelele kabla ya mechi ya Leicester City ila leo hao wenye kikosi kidogo wapo hapo wanajua wao walifikaje.
Hauitaji kufikiria mzigo wa Arsenal maana alipo hata wewe unaweza kufika bado kuna game mkononi ni vema mkianza nyinyi kuonyesha kua mnautaka ubingwa izi mboyoyo zenu tushazizoea na bado mnasubiri game na Barca muanze utabiri mpya mnajisahulisha kua mna fixture yenu pia,siamini na sitoamini kua kufeli kwa Arsenal kutatokana na game ya marudio na Hull City.
Tujikumbushe kidogo chifu, mmechukua point ngapi kwenye hyo fixture?
Sisi kufungwa na hyo timu bado haibadilishi uhalisia kuwa mmedroo na hull city Emirates,

Usitumie ubovu wa mwenzio kuwa kama ndio excuses, you told us dat you are a tittle contender, you have to act lyk a real tittle contender, utd kwa sasa hatuna cha kupoteza, no tittle, even top four am sure we can not make it, kwa ushauri wangu acha kujifariji na matokeo na utd au Chelsea.

Hii game itakua na replay kitu ambacho kinawaongezea idadi ya mechi kuwa nyingi tofauti na mnao compete nao kwenye mbio za ubingwa, kumbuka Leicester hayupo FA wala uefa ye anafocus kwenye premier tu, man city ye anakikosi kipana na chenye uwezo kuwazidi nyie, hata back up zao zinaweza kuanza kwenye timu yyte EPL, in short wana squard mbili tofauti na nyie kwenye back up utawakuta akina Gibbs

Hii game ilikua bora mpoteze ( kama kweli mnataka kukomaa na EPL) kuliko kuwa na replay ambayo ni kama obstacle kwenye race yenu ya ubingwa, ndani ya siku 26 mtakua na mechi 8, huoni kama ni tatzo hilo bro?

Barcelona (H)
Man United (A)
Swansea (H )
Spurs (A)
Hull (A)FA Cup replay
WBA (A)
Barcelona (A)
Everton (A)

Usijifariji kwa mwendo wa kiwete, ukikutana na mzima mwenzio utaumbuka.
 
Naona hata kombe lenu la Emirates limewashinda,Arsenal mnahitaji philosophy mpya hii ya Mr Bean haiwezi kufanya kazi zama hizi
 
Haya sasa...
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    38.1 KB · Views: 24
Xavier na Iniesta sio wakabaji isipokuwa mara chache husaidia kukaba!
Halafu uyo xavier ni nani mbona simjui mm....iniesta timu ikizidiwa unaona shughuli yake uwanjani anapambana ozil anakua mzuri pale timu inapokua salama uwanjani
 
Ingekuwa vizuri tukifarijiana majirani hiki kipindi sio kizuri kwetu yaani hawa vijana wanataka kubaki wao wenyewe tu hawajui safari bila mkubwa haiendi!poleni kwetu pia tia maji tia maji.
 
Arsene Wenger, ni mtu sahihi kwa wamiliki wa Club. Uwezekano wa kuondoshwa ktk nafasi yake ni 30% kubaki ni 70%. Naomba mkae mvumilie tu hali hii maana nadhani nyie wa Arsenal mmeumbiwa majonzi. Yaani kila nikiangalia sioni mwanga, next week Barca hao. Vijana wa mjini wanasema ukitaka kuwa model penda Arsenal haina haja ya dayat teh teh barafuyamoto Wacha 1
 
Asante, ila ndo nachoombea.
Kuiombea arsenal kufungwa ni kujitekenya mwenyewe maana ni mwaka wa 10 sasa ligi yenu inaishia mwezi wa 2

Kwa shabiki mwenye fikra pevu hawezi kumshangaa Wenger maana kila siku sababu zake nyingii afu zile zile

Wakati units, Wenger bado anapambana nao ataumia, na ataondoka kwa aibu mwenyewe yeye anafikiri kule kwa zaman mpinzani alikua naye mmoja tuu Manchester United wakati leo wapinzani ni Zaidi ya 6
 
Wenger aondoke na matasaka, girud, arteta, chamberz, walcot ,ramsey, flamin,sanogo, hawa mabwana ni mizigo sana pale arsenal.
 
Kuiombea arsenal kufungwa ni kujitekenya mwenyewe maana ni mwaka wa 10 sasa ligi yenu inaishia mwezi wa 2

Kwa shabiki mwenye fikra pevu hawezi kumshangaa Wenger maana kila siku sababu zake nyingii afu zile zile

Wakati units, Wenger bado anapambana nao ataumia, na ataondoka kwa aibu mwenyewe yeye anafikiri kule kwa zaman mpinzani alikua naye mmoja tuu Manchester United wakati leo wapinzani ni Zaidi ya 6
Kama umenisoma toka mwanzo licha ya kusema TUFUNGWE, nimesema tukose na champions league spot!
 
ila kama mzee wenger anapenda kuilinda heshima yake ni bora ajiengue mwenyewe mwisho wa msimu huu la sivyo December ya mwaka huu hataiona akiwa na kibarua chake, na atafukuzwa kwa aibu...
 
Kashengo nilishakuambia kuwa sisi hatuiombei njaa assnail maana tunajua njaa kwa assnail ni constant, tunachofanya ni kusubiri muda muafaka ufike wale WENGER OUT brigade waanze kazi yao.

Hii nimeikuta mahali sijui kama inaukweli wowote


Arsenal's form since Leicester win:

0-0 Hull...........D
0-2 Barcelona.L
2-3 Man Utd ...L
1-2 Swansea.. L
2-2 Spurs....... D
4-0 Hull.......... W
1-2 Watford ....L
It's 5 points out of possible 21, kheee kheee kheeee kheeeeee MkoPoka ai misi yu.
 
Kashengo nilishakuambia kuwa sisi hatuiombei njaa assnail maana tunajua njaa kwa assnail ni constant, tunachofanya ni kusubiri muda muafaka ufike wale WENGER OUT brigade waanze kazi yao.

Hii nimeikuta mahali sijui kama inaukweli wowote


Arsenal's form since Leicester win:

0-0 Hull...........D
0-2 Barcelona.L
2-3 Man Utd ...L
1-2 Swansea.. L
2-2 Spurs....... D
4-0 Hull.......... W
1-2 Watford ....L
It's 5 points out of possible 21, kheee kheee kheeee kheeeeee MkoPoka ai misi yu.
kashengo ni die hard fan wa Wenger,tulimwambia Arsenal ni predictable haya yanayotokea leo almost misimu 10 ni hayo hayo hakuna mabadiliko.Huwa anaamini Wenger alifocus kujenga uwanja so top four ilikuwa priority,uwanja umeisha timu iko stable financial now wana uwezo wa kuzuia key players wasiondoke na timu ina ubavu wa kusajili WC players
 
Back
Top Bottom