Kwa mpira waliocheza na wanaocheza Arsenal siku hizi, nitajie mchezaji hata mmoja anayecheza lwa kuonyesha anataka mafanikio. Sanchez nae anaanza kuharibiwa na mfumo.Naunga mkono hoja. Pier Morgan amesema kweli tu, amemfanyia haki Wenger kwa kujua wachezaji ndio wanafanya uchovu uwanjani. Kwa kweli wachezaji wanamwangusha sana Mr. Bean. Nafasi ambazo walizipoteza kipindi cha kwanza na kushindwa kutangulia kufunga uwanja wa nyumbani ni kununua "kushindwa".
Haya matokeo yatazidi kumpoteza Wacha1.
Nafasi ya nne ina wagombeaji wengi msimu huu, natumai "wenye jukwaa" wanaelewa hili.
Kipigo cha leo, Arsenal wamekinunua kwa uvivu wao na umaliziaji wao.
Bhana eee, lile bao la pili la Watford lazima liliwapa Arsenal kupooza miguu. Bonge la bao.
Msimu unaisha kwenye kabati la Wenger imebakia ngao tu, "community shield".
Je Wenger anabaki salama? Au wachezaji wanaotaka mafanikio watahama mji?
Wapigwe tu,hamna namna.
Barcelona wanafanya mazoezi ili iwazawadie wachovu kila mmoja bao moja.
pole sana kwa kubet kwa kukurupuka, hapana shaka utaliwa tena na jumatanoKENGE nyie mshanichania mkeka mnashindwa ongoza hata kwa watford SASA SUBIRINI JUMATANO nilipize kisasi
Roho safi kabisa, kama Barca wanataka wawe perfect huyu ndiye jamaa wao! Huyu ni mtengenezaji, sio mkabaji. Barcelona itamfiti kabisa!Barcelona tukimchukua OZIL litakuwa bonge la usajili. Coz midfielder itakuwa vizuri sana kuisaidia Iniesta. Itakuwa bonge ya replacement ya Xavier
poleni majiraniNi kuanza na Wenger kwanza, kisha waingereza wote na wafaransa wote!

Asante, ila ndo nachoombea.poleni majirani![]()
![]()
![]()
Chambers, Mertesacker na Gibbs. Teh, teh, khe khe, kheeeeeee.Kwa mpira waliocheza na wanaocheza Arsenal siku hizi, nitajie mchezaji hata mmoja anayecheza kwa kuonyesha anataka mafanikio. Sanchez nae anaanza kuharibiwa na mfumo.
Dah! Aisee nakubaliana na wewe. Campbell pamoja kuwa ni average player ila anapigana!Chambers, Mertesacker na Gibbs. Teh, teh, khe khe, kheeeeeee.
Bila kutania ni Coquelin na Campbell hawa wanaonekana kujituma uwanjani.
Magazeti yalimsifu sana Sanchez, umaarufu umemvimbisha kichwa.Kwa sasa anakimbia kimbia tu kama Hazard wa Chelsea.
Ozil ni bingwa wa pasi lakini hawezi kukabiliana na wanaocheza mpira wa misuli.
Nahisi Arsenal kukaa na mpira sana nyuma kwenye tafu yao inawagharimu sana. Pia wanaposhambulia na mabeki kusogea mbele sana wanakuwa ni uchochoro inapotokeo Timu pinzani kutumia pasi refu kufanya counter-attack.The weakest link anakuwa Per M.sacker.
Huyu jamaa namkubali sana aisee, serious jamaa anajua anachongea.If I were Arsenal manager, I'd sell half these players. Bunch of lazy, heartless, overpaid prima donnas.
Disgrace to the shirt. #afc
Kutoka kwa mmoja wa shabiki wa Goons maarufu, Piers Morgan.
Hana umuhim barca uyo anaflop big match barca tumejitosheleza kila idaraBarcelona tukimchukua OZIL litakuwa bonge la usajili. Coz midfielder itakuwa vizuri sana kuisaidia Iniesta. Itakuwa bonge ya replacement ya Xavier
Mchezaj asiekaba hatakiwi hasa pale mnapokutana na timu inacheza kwa misuli unalia aisee....hawezi cheza barca yuleRoho safi kabisa, kama Barca wanataka wawe perfect huyu ndiye jamaa wao! Huyu ni mtengenezaji, sio mkabaji. Barcelona itamfiti kabisa!
Japokuwa kimagumashiPoleni nyote mliotamani kumaliza stress zenu kule OT...#ManUnited is still into it
