Ulivyotia huruma kwenye hii post mpaka nimekuonea huruma....toka juzi unatamba sana kwenye uzi wa Man United...sasa leo Wtf (Watford) wanawapupulisha....baadaye usisahau kuja OTDakika ya 63
Arsenal 0-2 Watford
Arsenal tuko kwenye wakati mgumu wadogo wanafanya kila namna.
Hamna jinsi lazima wapigwe tu
Dakika ya 63
Arsenal 0-2 Watford
Arsenal tuko kwenye wakati mgumu wadogo wanafanya kila namna.
Vipi, umeshaweka matanga? Naona msiba mtauhani wenyewe tu...siye twaenda kugodoreka OT..FT
Arsenal 1-2 Watford
Rasmi FA holders wametolewa tena tukiwa nyumbani Emirates,tumecheza game nyepesi sana tumestahili kuondolewa.
Ndugu, usitegemee kipya kwa Wenger, LAZIMA atoke kwanza, mi nasali mambo yawe mabaya zaidi. Maana angeshinda hiki kikombe watu wangedhani ana kikosi kizuri au wenger ni bonge la kocha, NIMEFURAHI, sasa naomba top 4 tuikose!FT
Arsenal 1-2 Watford
Rasmi FA holders wametolewa tena tukiwa nyumbani Emirates,tumecheza game nyepesi sana tumestahili kuondolewa.
Naunga mkono hoja. Pier Morgan amesema kweli tu, amemfanyia haki Wenger kwa kujua wachezaji ndio wanafanya uchovu uwanjani. Kwa kweli wachezaji wanamwangusha sana Mr. Bean. Nafasi ambazo walizipoteza kipindi cha kwanza na kushindwa kutangulia kufunga uwanja wa nyumbani ni kununua "kushindwa".If I were Arsenal manager, I'd sell half these players. Bunch of lazy, heartless, overpaid prima donnas.
Disgrace to the shirt. #afc
Kutoka kwa mmoja wa shabiki wa Goons maarufu, Piers Morgan.
If I were Arsenal manager, I'd sell half these players. Bunch of lazy, heartless, overpaid prima donnas.
Disgrace to the shirt. #afc
Kutoka kwa mmoja wa shabiki wa Goons maarufu, Piers Morgan.
Arsenal ni timu ya kuwapulizia upepo wanaoshabikia timu hiyo kila baada ya mechi mbili, tatu au 4.Bora hata Mtibwa au Mwadui lakini sio kushabikia Arsenal