Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo mmuangalie Chelsea anavyoaga nyumbani kwake, kisha next week na ninyi muage mashindano rasmi.
Pole sana kwa matatizo maana unaishi kuangalia kwa jirani unasahau kua umejenga mabondeni duh noma sana.
 
The boss

3bc57c88d0b530695cde38505fc0adb1.jpg
 
Line up yetu Vs Watford katika harakati za kwenda Wembley,goma linapigwa Emirates.
Mungu ibariki Arsenal
ImageUploadedByJamiiForums1457873580.146703.jpg
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1457873535.821822.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1457873535.821822.jpg
    29.6 KB · Views: 36
HT
Arsenal 0-0 Watford
So far Arsenal tumecheza kawaida sana tumepata clear chances kadhaa ila hazijaleta matokeo chanya,tusubiri second half.
 
Barcelona tukimchukua OZIL litakuwa bonge la usajili. Coz midfielder itakuwa vizuri sana kuisaidia Iniesta. Itakuwa bonge ya replacement ya Xavier
 
Masikini Arsenal.... Kweli nimeamini kwamba kuipenda Arsenal Wenger akiwa kocha unahitaji kuwa na roho ngumu... Huyu mzee atatuua huyu!!! Halafu anajaribu bunduki wakati wa vita, eti ndo Walcot na Welbek ndo wanaingia sasa hivi..... Tushapigwa za kufa mtu
 
Back
Top Bottom