Mmeshindwa kuwafunga hull city emirates,![]()
![]()
![]()
![]()
Msijali mtaenda kumalizia hasira zenu kwa Barcelona.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 324481
Siku hizi mnasahau haraka matatizo yenu ngoja nikukumbushe umegongwa back to back arifu kaa chini tibu ugonjwa wako kurukaruka hakutokusaidia.View attachment 324483
Bunduki mpaka sasa hivi zinatoa maji.......
Bunduki mpaka sasa hivi zinatoa maji.......
Sisi kufungwa na hyo timu bado haibadilishi uhalisia kuwa mmedroo na hull city Emirates,View attachment 324481
Siku hizi mnasahau haraka matatizo yenu ngoja nikukumbushe umegongwa back to back arifu kaa chini tibu ugonjwa wako kurukaruka hakutokusaidia.View attachment 324483
Duh imebidi nicheke tu,hao ambao wanaongoza ligi na hawana mechi nyingi tuna tofauti ya 2 points,na hao wanaotufata wenye kikosi kipana tofauti na sisi ambao tuna akina Gibbs K tuna tofauti ya 4 points sioni sababu ya kupiga yowe kua second leg na Hull City ndio iwe chanzo cha udhaifu wetu once inapotokea ivyo unavyoita vikwazo Manager anajua anajipanga vipi so simply huo unaouona mzigo uache mabegani mwa Arsenal wata deal nao,hapo walipo haujui walifikaje maana juzi tu mlipiga kelele kabla ya mechi ya Leicester City ila leo hao wenye kikosi kidogo wapo hapo wanajua wao walifikaje.Sisi kufungwa na hyo timu bado haibadilishi uhalisia kuwa mmedroo na hull city Emirates,
Usitumie ubovu wa mwenzio kuwa kama ndio excuses, you told us dat you are a tittle contender, you have to act lyk a real tittle contender, utd kwa sasa hatuna cha kupoteza, no tittle, even top four am sure we can not make it, kwa ushauri wangu acha kujifariji na matokeo na utd au Chelsea.
Hii game itakua na replay kitu ambacho kinawaongezea idadi ya mechi kuwa nyingi tofauti na mnao compete nao kwenye mbio za ubingwa, kumbuka Leicester hayupo FA wala uefa ye anafocus kwenye premier tu, man city ye anakikosi kipana na chenye uwezo kuwazidi nyie, hata back up zao zinaweza kuanza kwenye timu yyte EPL, in short wana squard mbili tofauti na nyie kwenye back up utawakuta akina Gibbs
Hii game ilikua bora mpoteze ( kama kweli mnataka kukomaa na EPL) kuliko kuwa na replay ambayo ni kama obstacle kwenye race yenu ya ubingwa, ndani ya siku 26 mtakua na mechi 8, huoni kama ni tatzo hilo bro?
Barcelona (H)
Man United (A)
Swansea (H )
Spurs (A)
Hull (A)FA Cup replay
WBA (A)
Barcelona (A)
Everton (A)
Usijifariji kwa mwendo wa kiwete, ukikutana na mzima mwenzio utaumbuka.
Na vipi kuhusu kufeli kuchukua EPL kwa miaka 10+, shida iko wapi?Duh imebidi nicheke tu,hao ambao wanaongoza ligi na hawana mechi nyingi tuna tofauti ya 2 points,na hao wanaotufata wenye kikosi kipana tofauti na sisi ambao tuna akina Gibbs K tuna tofauti ya 4 points sioni sababu ya kupiga yowe kua second leg na Hull City ndio iwe chanzo cha udhaifu wetu once inapotokea ivyo unavyoita vikwazo Manager anajua anajipanga vipi so simply huo unaouona mzigo uache mabegani mwa Arsenal wata deal nao,hapo walipo haujui walifikaje maana juzi tu mlipiga kelele kabla ya mechi ya Leicester City ila leo hao wenye kikosi kidogo wapo hapo wanajua wao walifikaje.
Hauitaji kufikiria mzigo wa Arsenal maana alipo hata wewe unaweza kufika bado kuna game mkononi ni vema mkianza nyinyi kuonyesha kua mnautaka ubingwa izi mboyoyo zenu tushazizoea na bado mnasubiri game na Barca muanze utabiri mpya mnajisahulisha kua mna fixture yenu pia,siamini na sitoamini kua kufeli kwa Arsenal kutatokana na game ya marudio na Hull City.
You are heading there....Mna 3 years nowNa vipi kuhusu kufeli kuchukua EPL kwa miaka 10+, shida iko wapi?
Ok, you should wait until we reach were u expect us to be.You are heading there....Mna 3 years now
endelea kuhesabu mwakani mwaka wa 4 mtakuja shtuka 6,7,8
Be calm and watch this space
Haaaa haaaa nilijua lazima ufike uko maana ndio dawa ya hangover yako,karibu sana kwenye hiyo situation najua unajua kua umeingia rasmi na wewe unahesabu misimu,atleast nimechukya FA back to back na leo namiliki ball namba 7 kwenye draw ya FA alhamdullilah nashukuru kile kicheko chenu kua top 4 ndio kombe letu hamuwezi kucheka tena maana mna hustle na top 4 kama mgumba na kupata mtoto.Na vipi kuhusu kufeli kuchukua EPL kwa miaka 10+, shida iko wapi?
Kesho usiangalie hiyo peke yako.Mmmh hii mechi inanipa presha kwa kweli
Kesho mna majeruhi au wote ni wazima?Game nyepesi kabisa. Wepesi wake unatokana na sababu kwamba majeruh wamepona.
Vitu vingine kabla ya kuomba unaanza kukata tamaa mapema.MSN this season:
Suarez 35 goals
Messi 24 goals
Neymar 21 goals
Assnail vs Barcelona in 19 days.
PRAY FOR ASSNAIL