Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kinachofuata Camp Nou tutakwenda kupigiwa mpira mwingi na magoli ya kebehi. Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie.
784873f64f71176ddb603d8598db02a6.jpg
 
Duuh! Hii kali yani bora man U kwa lipi sijui😀🙁😀😀
Watu wa manure wasikupe shida Furaha ishakosekana kwa timu yao

sasa kila anayecheza na Arsenal ndo Timu yao

Sasa hivi watakuwa wanaomba njaa mwanzo mwisho na hawako peke yao wana Chelsea fans na Liverpool

hii kitaalamu inaitwa "KAMA VIPI WOTE TUKOSE TUU''
 
Hahahaaaa wachekesha kibangaaa....kuifunga man city 4 ndio mmejiona mpo juu wakati mastaa wengi cku iyo hawakuemo, Aguero,toure,silva,raheem,de brune nk..... VIVA BARCA weka mbali na watoto
Bahati mbaya hujui kwamba baca uingereza nzima wanaiogopa chelsea peke yake hata kama chelsea wawe wabovu kiasi gani baka lazma apigwe tu
 
Nimeipenda hiyo you have nothing to loose

LVG anasema Top for still ni possible kabisa....

Hizo fixture zio issue kuna depth ya kutosha kudeal nayo Arsenal sio Lester kuwa kikosi ni watu 11 tu...
Arsenal hii hii ambayo mmoja wenu few posts nyuma kasema inabidi mnunue DM??!!! Kweli mna short memory
Depth ya kutosha anatoka Giroud anaingia Danny Welbeck vs Barcelona?!! Who are you kidding? Hao Leicester mnapiga kelele leo wakati in reality red card ndio ilisaidia kuwafunga. Arsenal ni ile ile......mtaisoma namba!
 
We subiria sindano ya MOTO hakuna jinsi ya kuelewa tofauti na Defeat

aliyesema DM kwa hakika kavurugwa na kipigo na si kila wazo la shabiki analosema liko sahihi

maana DM kashanunuliwa Mohamemd Elnenny hatujui kwanini hakuwa hata bench ila Yuko

DEPTH iko ya kutosha YEEAH we ndo unawaza hayo sio tunakunywa juice baridii tunasubiria Kukupa za Uso
 
Msichokijua ti,u yenu ni so avaerage kama timu zingine tu za EPL
 
ni kweli ndo maana we are 10 points above your team

and Two points below league leaders

if arsenal is average among EPL teams your team will be super mediocre
 
Very funny....10pts ahead, just 4 games ahead and still more than 10 games to go thats why we are fifth, three places below you!

In any of the top five leagues in EURO arsenal,man city,man utd,tottenham are average!
 
Very funny....10pts ahead, just 4 games haead and still more than 10 games to thats why we are fifth, three places below you!
You will never catch a team with 10 points ahead of you from FEBRUARY may we ni mgeni wa EPL, tena mbaya zaidi timu lako Bovuu

Komaa na WEST HAM, LIVERPOOL, SOUTHAMPTON hawa uko nao level moja you may finish above them
 
Aisee mimi ni mgeni na EPL....ila wewe mwenyeji ngoja nikukumbushe man utd alishakata gap ya point zaidi ya kumi kwa arsenal na newcastle wakachukua ubingwa....sikumbuki mwaka.
 
Kweli we mgeni you need to learn more and more ....Newcastle ubingwa kaubeba hata we hata hujafikiriwa kuzaliwa...so hiyo kitu umechemka

1926-1927 ndo last time walichukua Ndoo
 
Hujaelewa...nimekwambia man utd kashawahi kukata gap ya point 10 kwa arsenal na newcastle( man utd wakachukua ubingwa). Soma uelewe post kabla
 
You will never catch a team with 10 points ahead of you from FEBRUARY may we ni mgeni wa EPL, tena mbaya zaidi timu lako Bovuu

Komaa na WEST HAM, LIVERPOOL, SOUTHAMPTON hawa uko nao level moja you may finish above them
Ndio kilichobaki saizi, wenzenu wanafurahia kuchukua EPL nyie mnafurahia kumaliza above utd
 
Back
Top Bottom