Asante...!!Arsenal will win the match 2-1 unabisha endelea tu...
Hakuna kitu kama hicho wewe. Arsenal tunashinda kama kawaidaLeo ndo leo, Barca lazima watupige nyingi.
Wenzio wote wamekimbia tupo tutakuwa na wewe kuwashangilia wenzetu wa EPLHakuna kitu kama hicho wewe. Arsenal tunashinda kama kawaida
Thanks...all the best...........
Watarudi tu muda wa match.Wenzio wote wamekimbia tupo tutakuwa na wewe kuwashangilia wenzetu wa EPL
Watarudi kwa kujiuliza imekuaje kipogo kama hiki kimetokea? Na wala hawatarudi kwa furaha hapa.Watarudi tu muda wa match.
Mnashinda kiimani huku mdomo ukisema mnashinda ila moyo ukikataa au sio?Hakuna kitu kama hicho wewe. Arsenal tunashinda kama kawaida
Tupo mkuu ila kuna jamaa ingizo jipya inabidi tutulie maana anaandika kama cherehani haaa haaa kila ukiingia unakuta katupia zile "leo Messi anaua" haujatulia "kiama chenu" ukijitingisha unakuta kaweka kibwagizo "mnakula nyingi" acha tu ila hakuna wa kukimbia mpwa mpaka mtanange uishe na nitakuja kuaga.Wenzio wote wamekimbia tupo tutakuwa na wewe kuwashangilia wenzetu wa EPL
Leo ndo leo, Barca lazima watupige nyingi.