Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inabd wachezaj awape mbinu za kupambana ujue arsenal inawachezaj wazuri kila idara kuliko lcity
 
Attachments

  • 1454594709918.jpg
    1454594709918.jpg
    58 KB · Views: 28
Kutwa kashinda nyumba ya jirani hamna kwenu au ndio Chama la Aston Villa au Sunderland
 
MSN this season:
Suarez 35 goals
Messi 24 goals
Neymar 21 goals

Assnail vs Barcelona in 19 days.

PRAY FOR ASSNAIL
 
wakuu msijali kabisa, tarehe 24 ntawatumia video ya Piers akifanya naked conga.....kutakuwa na mapicha pia ya kutosha (sponsored by Wacha1) yatakayopeperusha mburukenge wote humu
 
Ha ha ha haha ha ha ha ha yaani mpira ni burudani sana!!! Hawa jamaa leo wamepotea kabisa hamna hata mmoja wa wale vinara kujitokeza??!!
rubaman uko wapi? muite na Wacha 1 tujumuike kuiombea Arsenal ubingwa....#COYG

Manchester United na Chelsea fans mmepata muda wa kuchenua vinywa. Nilisema ligi ilikuwa bado mbichi na narudia bado mbichi. Mechi mbili, tatu patakuwa na mabadiliko mengine katika kinyang'anyiro hiki. For your information, SIJAKIMBIA JUKWAA. nipo busy na personal stuffs, mambo yakiwa sawa nitajumuika na #mburukenge wote wa Manchester United na Chelsea mliopata muda wa kucheka.
 
Mambo yanapokuwa vibaya mnakuwa na visingizio vitamu...khe khe khe khe khe
 
Manchester United na Chelsea fans mmepata muda wa kuchenua vinywa. Nilisema ligi ilikuwa bado mbichi na narudia bado mbichi. Mechi mbili, tatu patakuwa na mabadiliko mengine katika kinyang'anyiro hiki. For your information, SIJAKIMBIA JUKWAA. nipo busy na personal stuffs, mambo yakiwa sawa nitajumuika na #mburukenge wote wa Manchester United na Chelsea mliopata muda wa kucheka.
khe khe khe khe khe khe mara nyingi tunakuwa busy na personal stuffs tukipata vipigo......wengi tu wapo busy na personal stuffs!! DING DONG
 
Back
Top Bottom