Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

30D29EDB00000578-0-image-a-34_1454447707057.jpg



football or rugby???????????????????????????
 
Mashabiki wa Arsenal bana, leo wanamlaumu na kumsema Arsene Wenger, hawataki kumuona lakini wakishinda mechi mbili tatu, wanasahau yote wanaanza kumsifia tena. Hawajui kila mwisho wa msimu nafasi yao ni ile ile na kosakosa ubingwa wao. Kama msiposhinda EPL sasa, hamtokuja kushinda MILELE.
 
Kuonyesha wenger amefail wachambuzi wengi wa soka walikuwa wakiipigia chepuo club ya arsenal msimu huu kubeba kombe la epl kwa msimu huu wa 2015/2016 lakini ifikapo feb ya msimu wa pili timu hii huanguka na kuanza kuporomoka. Je mzee wenger wameshindwa kumfukuza. Inashangaza sana kama timu kama united, chelsea na man city zinajikokota lakini arsenal imeshindwa kutumia nafasi hii. Angalia mwezi huu itakavyoporomoka utashangaa
Feb 13 Arsenal vs Leicester
Feb 16 Arsenal vs Barcelona
Feb 27 Man Utd vs Arsenal
1st March Arsenal vs Swansea
5th Mar Spurs vs Arsenal
8th Mar Barcelona vs Arsenal

Kama ni mshabiki wa arsenal pole sana nikiwemo na mimi. Hii club imefail na itazidi kufail mzee ameshindwa kuwajenga wachezaj kisaikolojia na kuweza kushindana na msongo wa mawazo kila timu ipotezapo.

Kuipenda arsenal kupenda magonjwa ya moyo.
 
Lakini prof.situnaujua mfumo wake siku zote sio vikombe bali nikuifanya arsenal kuwa ni academy yakuzalisha wachezaji kisha haoo wanauzwa, kiushindani prof.ameshindwa cku nyingi
 
Nimeisha jichokea msimu huu ulikuwa wetu kabisaa ,timu kubwa zingine zimechoka sana .Huenda leicester akabeba taji kirahisi sana
 
Back
Top Bottom