Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kawaida yao mchekaji maharufu wacha 1 upo ? kale kanafasi kenu ka NNE kanatishiwa uhai na man u kwe kwe kwe kwe !
 
Msimu ujao na kuendelea.
-Klopp atakuwa na timu anayoitaka.
-Guardiola ndani.
-Yawezekana Mourinho akawepo ndani.
-Pottechino na Spurs wapo.
Wenger akimbie tu kutunza heshima hata ya nafasi ya nne.
 
Haiyyyyyyyaaaaaaaaaaaaaa! the 4th place journey has started
Reality check.?? Ding dong.
Prof. anamsubiri Gardiola ili amfanyie ya Mourinho. Yeye target ni nafasi ya kucheza UEFA na FA.
Hapana bana, wachezaji wake ndio wanamwangusha. Umeona Southampton wanakaba na kuondoa mpira kwa kasi na wanakimbia kama swala. Arsenal wanapunguza kasi ya mchezo na S'ton wanapata nafasi ya kujipanga, pia inaonekana Arsenal hawapendi au wanaogopa physical game. Umeona S'ton wanavyotunisha msuli? Man city wana-adapt vizuri na wapinzani wao. ukitaka football wanapiga kitale,ukitaka mieleka,wanajaza upepo misuli yao.

Niliangalia game ya Leicester pia hii timu inajituma sio utani na wanajua kutumia makosa ya wapinzani wanapokuwa muelekeo wa nyavu za wapinzani.

Wenger ana kikosi kizuri, tatizo ni upangaji wa kikosi tu kulingana na timu pinzani. Nimpe big up leo at least kwa kumweka bench M'saker kwa speed ya Mane na kubamiza mabeki, S'ton wangeondoka na vigelegele na points 3.
 
Bussines as usual

1454472467695.jpg
 
Nimegundua mbuzi Wa maskini hazai....

Na akizaa , mbalelo anakufa...

It has been your normality arsenal's ....almost for a decade now


Hahahah umenikumbusha aisee;

Ng'ombe wa masikini hazai,
.
.
.
Akizaa basi ndama hufa,
.
.
.
ndama asipokufa basi dume,
.
.
.
na akizaliwa jike, hazai,
.
.
.
repeat cycle!!!!
 
Huu ukuta umechacha kweli leo.
Lakini wadau si ndio pride yetu kuwa 4th for the sake of UEFA participation? Na Wenger ndiye Professor? Chill guys, #COYG!1🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Ha ha ha haha ha ha ha ha yaani mpira ni burudani sana!!! Hawa jamaa leo wamepotea kabisa hamna hata mmoja wa wale vinara kujitokeza??!!
rubaman uko wapi? muite na Wacha 1 tujumuike kuiombea Arsenal ubingwa....#COYG
 
Arsene Wenger was involved in an amazing tunnel bust-up with southampton boss Ronald Koeman.
Wenger confronted referee Lee Mason
at the end of their 0-0 draw with southampton at the emirates that leaves them five points behind leaders
Leicester.
Wenger shouted at Mason: 'It's always the same with you.' Koeman saw the exchange and confronted Wenger before saying: 'It's always the same with you.'
Koeman added: ‘You had 10 chances to score and didn’t take any of them, instead you take it out on them (the officials).’

Wenger and Koeman in tunnel BUST UP after goalless draw
 
Back
Top Bottom