Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger yupo sawa, tatizo la gunners tuna players mediocre. Akina Ramsey, Walcott, Oxlade, wilshere hawa wote ni overhyped na far from world class na timu nzima kwa ujumla. Wachezaji wa arsenal hawana soul, passion hata fighting spirit in them wao despite kulipwa mishahara mikubwa still approach yao kwenye gemu ni kama wanacheza charity matches.... Inaboa sana.
Hata hivyo bado tupo kwenye race mechi ijayo tutapunguza gepu to 3 points au 4 kwa 1 kulingana na matokeo ya Leicester na Man City. Tusife moyo na hiyo schedule. Effort kubwa timu ihamishie kwenye EPL, CL tusiiwazie sana uwezo bado mdogo.
 
Messi alimuambia Suarez
Mess: unajua Suarez Leo lazima unipe assist nyingi
Suarez: kwa nn messi?
Messi: mwanangu anataka mpira mpya nimemuahid nikirud nampa wa mechi hii ya valencia
Suarez: dah nami nimemuahid mwanangu kuwa ni lazima Leo nimpe mpira mpya sasa tutafanyaje
Neymar: ok msijal Mimi nitawapa assist wote wawili n.a. kila mmoja atamperekea mwanae mpira
Arda turan: nami nitamsaidia neymar msijal

Baada ya gemu
Wote:

Messi: bado nani mwanae anataka mpira?
Neymar: mi mwanangu anautaka mpira wa mechi ya arsenal n.a. sisi
Timu nzima: n.a. sisi pia wanetu wanautaka mpira huo huo
Iniesta: sasa nawe kipa unautaka tena utawezaje kupiga hatrick
Msn: msijal kila mmoja siku hiyo ataondoka n.a. mpira wake
Kocha: n.a. Mimi pia nautaka
Wote:
 
Ahahahahahahahahaha Daaah, Mkuu unadharau wewe!!
Ndio hali halisi....

0q.jpg
 
Game tutaiona tamu endapo Arsenal akalazimisha droo Emirates kisha akaenda Nou Camp!
 
the Mandaz fans nawaonea huruma..
Kwa jinsi Prof Mr Bean anavyojifanya jeuri hawez kupaki basi dhidi ya BARCA na ile defence yenu ya akina Paa Matakataka ...km nawaona vile kina Suarez & Mess I & Neymar wkiondoka na mipira yao pale Emirates
 
Mashabiki wa Arsenal bana, leo wanamlaumu na kumsema Arsene Wenger, hawataki kumuona lakini wakishinda mechi mbili tatu, wanasahau yote wanaanza kumsifia tena. Hawajui kila mwisho wa msimu nafasi yao ni ile ile na kosakosa ubingwa wao. Kama msiposhinda EPL sasa, hamtokuja kushinda MILELE.
Mashabiki wa Arsenal,Utd,Chelsea,Liva wote tuko ivyo sio Arsenal pekee kwani hawa Utd waliojaa umu si juzi walikua wanapayuka LVG asepe mbona wamesahau na wanashangilia kama wanaongoza ligi like wise rent boys nao ni ivyo ivyo.
 
Wenger anafanya hivyo kwa zaidi ya miaka 10
 
Mashabiki wa Arsenal,Utd,Chelsea,Liva wote tuko ivyo sio Arsenal pekee kwani hawa Utd waliojaa umu si juzi walikua wanapayuka LVG asepe mbona wamesahau na wanashangilia kama wanaongoza ligi like wise rent boys nao ni ivyo ivyo.
Na hilo la kubeba EPL Cup?
 
Back
Top Bottom