Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
hahahaah,,,,,,,siku hizi kiwango changu cha utabiri kimeshuka si kama kipindi kile cha world cup.Nakuaminia kwa mautabiri yako....
hahahaah,,,,,,,siku hizi kiwango changu cha utabiri kimeshuka si kama kipindi kile cha world cup.Nakuaminia kwa mautabiri yako....
ni balaa kubwa siku hiyo.Hio game mmmhh
Vipi wewe hutaki kuondoka na mpira siku hiyo?Messi alimuambia Suarez......
.Messi: Unajua Suarez Leo lazima unipe assist nyingi.....
.Suarez: kwanini Messi???
Messi: Mwanangu anataka ⚽ mpya nimemuahidi nikirudi nampa wa mechi hii ya valencia.
Suarez: Daaahh nami nimemuahidi mwanangu kuwa leo lazima nimpelekee ⚽ mpya sasa tunafanyaje???
Neymar: OK, Msijali Mimi nitawapa assist wote wawili na kila mmoja atampelekea mwanae ⚽.
Arda turan: Nami nitamsaidia neymar msijali.
Baada ya gemu
Wote:
Messi: bado nani mwanae anataka mpira?
Neymar: Mimi mwanangu anautaka ⚽ wa mechi ya Arsenal.
Timu nzima: Na sisi pia watoto wetu wanataka ⚽⚽⚽
Iniesta: sasa nawe kipa unautaka tena utawezaje kupiga Hattrick???
MSN: msijali kila mmoja siku hiyo ataondoka na ⚽ wake
Kocha: Ma mimi pia nautaka.
Ndugu naomba ukubali tu kuwa unaigwaya Arsenal, naona washabiki wa timu zingine mnaisakama sana Arsenal, lazima inawamyima usingizi.MSN this season:
Suarez 35 goals
Messi 24 goals
Neymar 21 goals
Assnail vs Barcelona in 19 days.
PRAY FOR ASSNAIL
Sioni Barca akitoka raundi hii, alafu epl iko within sight, ngoja sasa tumalizie kazi.ni balaa kubwa siku hiyo.
Hahahaaaa niogope kwann kaka? Mkuu hebu tuwe wakweli aisee, kwa kipi zaidi kitakachofanywa na assnail kuweza kumtoa barca?Ndugu naomba ukubali tu kuwa unaigwaya Arsenal, naona washabiki wa timu zingine mnaisakama sana Arsenal, lazima inawamyima usingizi.
Hahahah mkuu huu utabiri nategemea utatimiaAfter 38 games in EPL 2015/2016
1. ARSENAL FC 80
2. MANCHESTER CITY 76
3. LEICESTER CITY 74
4. MANCHESTER UNITED 70
5. TOTTENHAM HOTSPURS. 69
6. LIVERPOOL FC. 68
7. The rest........
This is for the record after the 2015/2016 season ends.
Mechi ya muhimu kushinda hiiMpira umeanza na Arsenal hawawezi kukubali kushindwa game hili.