Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gosling anamkwatua Mathieu Flamini na Flamini hajapenda namna kiatu kilivyopigwa na analalamika kwa mwamuzi. Mwamuzi Kevin anapeta na anamwonya Gosling kwa kuzungumza nae.
 
Campbell nje oxlade ndani...! Mda mwingine kama Wenger sijui waga anapenda arsenal isishinde.
 
Mechi ya muhimu kushinda hii

Wanafanana kidogo kimchezo na kama itakwenda hivyo basi Arsenal wanaweza kufunga ndani ya kipindi cha kwanza.

Ila Boss leo ana kazi ya kumkaba Benik Afobe ambae anataka ku-prove something kwa Arsene Wenger.

Dakika inakwenda ya 10 goli ni 0-0.
 
So far na Bournemouth, Arsenal not convincing at all, as if we are not fighting for anything. Very dissappointed so far.
The Ramsey-Flamino midfield combo never works!
 
Campbell nje oxlade ndani...! Mda mwingine kama Wenger sijui waga anapenda arsenal isishinde.

Haijulikani ni kwanini Wenger ameanza na Ox lakini itakuwa ni mbinu tu zaidi ya kimchezo.Ila Wenger anasema Ox yupo kwenye good form.
 
Flamin asipokua makini anaweza akachezea umeme swahiba wangu maana ana yellow card ya mapema na yeye ashazoe vurumai.
 
Dakika inakwenda ya 20 ni 0-0 na huwa zikipita dakika 25 inakuwa vigumu sana kuhimili mashambulizi au kuyazuia.

Arsenal inabidi kucheza kama walivyocheza na Man City au Man Utd au hata Olympiakos,
 
Oziiiiiiiiiiiiiil Arsenal 1 up
ozil1_3569661b.jpg


Mesut Ozil anafunga goli safi kabisa baada ya kupokea pasi kutoka kwa Alexis Sanchez ambae alipasiwa na Aaron Ramsey.

ozil-goal_3569668b.jpg


Muonekano mzuri wa goli la kwanza lililofungwa na Mesut Ozil
 
Alex Oxlaaaaaaaaalade Arsenal 2 up

goal-2_3569662b.jpg

Alex Oxlade Chamberlain anakifunga goli lake la kwanza baada ya mezi 16 kutokana na pasi ya Aaron Ramsey.

oxlade_3569685b.jpg

Goli la pili la Alex Oxlade Chamberlain.
 
Hii itajakuwa vigumu sana kwa Bournemouth kurudisha magoli mawili.
 
Arsenal lazima ijaribu kupunguza tofauti ya magoli na Tottenham ambayo mpaka sasa Tottenham wanatuzidi magoli 9
 
Bournemouth hawawezi kwenda mbele sana maana hawamsaidii Benik Afobe ambae yupo mbele peke yake.

Wakijaribu kwenda mbele watawafanya Arsenal washambulie na kufunga magoli Zaidi.

Dakika inakwenda ya 42
 
Back
Top Bottom