Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Tu-compare notes May 2010. Tungekuwa hatushindi kitu usingekuwa unapiga kelele kama mwehu.
Una maana gani hapo! Nadhani sports ni furaha na utani .........
Tu-compare notes May 2010. Tungekuwa hatushindi kitu usingekuwa unapiga kelele kama mwehu.
Una maana gani hapo! Nadhani sports ni furaha na utani .........
FABREGAS WANTS OUT![]()
Cesc Fabregas reportedly decided after Sunday's defeat to Manchester United that he will return to Barcelona this summer.
Spanish newspaper El Mundo Deportivo claim - under a story headlined 'Bye Bye Arsenal' - that Fabregas has told friends that six seasons at Arsenal is enough and he will push through a transfer this summer.
http://msn.football365.com/story/0,17033,8652_5912183,00.html?
akishinda kombe hio ndio tunataka lakini haikuwa na haja kuchukua risk ya kuto sign striker wakati kombe liko so open.Akishinda kikombe mwaka huu utasema nini? kumbukeni Arsenal anapigwa vita kila upande kuanzia kutoka FA et al. Hii ratiba ya kucheza na vilabu vyote vikubwa at the same time katika big 4 nani anayo? Nobody.
Nia ya kuwafunga mnayo, na sababu ni kuaidia Man U but na wasiwsi kama uwezo mnao...Bro, nia ya kuwafunga tunayo, uwezo wa uwafunga tunao, na sababu za kuwafunga tunazo....
...CUM ON YOU GUNNERZ!
kinacho tuangusha ni wachezaji wetu hawana winning mentality.
Una maana Man U tunabebebwa ,mna advantage sababu mkishamaliza hizo game mmebakiza mechi nyepesiUkweli ni kwamba inashangaza kweli kweli Aston Villa Vs Arsenal,Arsenal Vs Man Utd,Chelsea Vs Arsenal,Arsenal Vs Liverpool,mfululizo wa mechi hizi kwa kiasi fulani haukutenda haki kwa Arsenal..Anyways ngoja tu tumalizane na hawa wazee mapema ili kama vp tuwasahau tu..Mechi zinazofuata tutacheza tukiwa hatuna presha ya kukutana sijui na Chelsea,Man Utd wala Liverpool,tunamalizana nao mapemaa
kama hull city wameweza kumpa draw sijui kwanini sisi tushindwe kushinda lol. naona wenger atumie kismart cha kuzuia full backs kupanda mbele ovyo na kuruhusu kukamatwa kwenye counter attack....nasema hivi,
...pamoja na machungu yooote lakini Jumapili tunamfanya vibaya Chelsea. Tutashinda Jumapili pale pale Darajani!
Siongezi neno tena...
Jumapili hiyooo inakuja!
SAMIR NASRI believes defeat to Chelsea on Sunday would kill-off Arsenal's faint title hopes. Arsene Wenger's side are six points behind the Blues going into the crunch clash at Stamford Bridge. And Gunners midfielder Nasri said: "Defeat is forbidden. "That would mean the end of our title chances but any other result would leave us in the running." Arsenal have struggled against their title rivals this season, losing to United twice as well as being comprehensively beaten by Chelsea at home. Nasri added: "We know that we can beat anyone.
"Maybe we put a bit too much pressure on ourselves before matches against big teams because we tell ourselves that they are decisive for the title." Nasri moved to Arsenal in the summer of 2008 and had an impressive debut campaign. But he picked up a serious injury in pre-season training which sidelined him until the end of October. The 22-year-old said: "I have progressed in all areas. "Tactically, I know how to play on one side even though I remain convinced that I can play better through the middle. I'm also defending a lot better. "Technically, I'm much more fluid in the one-touch game. That wasn't the case at Marseille. "My left foot has improved. And I'm also more of a shooter in front of goal."
vijana hawatakiwi kukata tamaa hata chembe. Mashabiki piakama hull city wameweza kumpa draw sijui kwanini sisi tushindwe kushinda lol. naona wenger atumie kismart cha kuzuia full backs kupanda mbele ovyo na kuruhusu kukamatwa kwenye counter attack.
mbona villa tuliweza kuwazuia msimuu kwenye counter attack zao? hiliwezekana kwa vile beki zetu hazikupanda ovyo ndio maana tukaweza kuzuia counter attack zao nyingi.lakini huu mchezo wa kujiachia kama against man united uta tu-cost tena.
chelsea game its a must win,sitowaelewa kabisa nikiwaona wanazunguka zunguka na mpira kutaka kutembea mpaka ndani ya nyavu.
Leo arsenal watapewa kipigo tu.....
![]()
Waaambie bana Mbu...Really? aha ha ha haa!
Nope , Not today!!!!
Kwani maneno mengi ya nini?
Ngoja nanyi leo myaonje machungu ya kufungwa nyumbani!!!
😀😀😀
Naona mkuu leo hapo umekaa lkn msosi haupandi......Really? aha ha ha haa!
Nope , Not today!!!!
Kwani maneno mengi ya nini?
Ngoja nanyi leo myaonje machungu ya kufungwa nyumbani!!!
😀😀😀
Naona mkuu leo hapo umekaa lkn msosi haupandi...
We endelea kupumulia mashine tu...
Mtabana sana vidole na mtabadili sana mikao....
Mwisho wa dkk 90 ni sisi 3 na nyie 1(tena kwa pen)
yaani hapa nimeshapata link za kuangalia online!!! nitakuwa nakuwekea tu matoke kila dkk 1 1...😀 Goodluck!!! ..si unajua dkk 90 haziongopi?...