BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Poa mkuu naona drogba bado analia na ninyi.
Huyu anatufanya vibaya kila wakati, sijui ana usongo gani na sisi. Ni half time tukiweza kupata kifutio machozi kabla ya 65 mins na kuwa 2-1 basi chochote kinaweza kutokea lakini jamaa wakiona nyavu zetu kwa mara ya tatu basi mpira utakuwa umekwisha.