Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I hope today we'll start to "make that move" to show MANU and Chelsea that we're not pushovers.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=F9yTCrxgZjE&feature=related[/ame]
 
_47244610_ars_chel466.jpg
 
Mkuu Wacha1, Tunamchapa mtu leo ndani ya nyumba yake.
 
Bubu Ataka Kusema

Naona Theo Walcott anaanza Wenger kapania leo.
 
Bubu Ataka Kusema

Naona Theo Walcott anaanza Wenger kapania leo.
bora rosicky kuliko walcott.dogo hana akili ya mpira kabisa. angemuanzisha denilson nasri angekuja kulia ,diaby kushoto.

kila siku drogba too ujinga mtupu.poor defending ,poor goalkeeping.
 
bora rosicky kuliko walcott.dogo hana akili ya mpira kabisa. angemuanzisha denilson nasri angekuja kulia ,diaby kushoto.

kila siku drogba too ujinga mtupu.poor defending ,poor goalkeeping.

Tulianza kushambulia nikapata matumaini lakini kwa speed hii si ajabu jamaa wakawa mbele nne bila wakati wa half time.
 
leo noma sana.wabovu sana kwenye kudefend kwenye counter attack.mabeki wetu wanapanda sana mpaka wanajisahau.

Ni kweli kabisa makosa yale yale tuliyofanya na MANU, nilidhani leo watayarekebisha lakini wapi! 🙁
 
Poa mkuu naona drogba bado analia na ninyi.

Huyu anatufanya vibaya kila wakati, sijui ana usongo gani na sisi. Ni half time tukiweza kupata kifutio machozi kabla ya 65 mins na kuwa 2-1 basi chochote kinaweza kutokea lakini jamaa wakiona nyavu zetu kwa mara ya tatu basi mpira utakuwa umekwisha.
 
Back
Top Bottom