BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Tutaonana half time mimi mechi kubwa kama hizi sitaki kukosa hata sekunde moja huvyo inabidi nitakafute mahali pa kukaa palipotulia, halafu nina midadi naweza kabisa kuitandika hii screen teke la nguvu halafu ikawa habari nyingine ha ha ha ha . Enjoy the game 🙂