Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni sana...Ila mhhhh ratiba yetu ilivyokaa mpaka inasikitisha

Jumapili 31/01 Man Utd
Kisha 07/02 yafuata Chelsea
Halafu 10/02 wanafuata Liverpool

Sema iko pouwa tu maana tunamalizana na hawa wakulu mapemaaa kupunguza presha
Mechi ya Loserfool ni nyepesi, beleive me!
 
_47196220_eduardo_ap766.jpg

_47196524_campbell_pa766.jpg

_47197079_rosicky_pa766.jpg
 
Arsenal have managed to take 4 points from Aston Villa this season and both Chelsick and Manure have managed to take nothing from them.

Chelsick beaten 2-1 at Villa park and Manure lost at Home. Good results for the Gunners. Next stop Emirates with Manure.

SOL-SPLASH_975265a.jpg
 
sijapata nafasi kuangalia mpira leo tena wakuu sasa nina wasi wasi mkubwa je wenger maamuzi ya kutosajili striker ni mazuri kweli? nyie mlioangalia mpira niambieni tatizo lilikuwa wapi leo? ni lack of commitment from our players? au ndio pengo la song na diaby?

nilisema baada ya fa cup respond yao kwenye mechi ya leo itakuwa muhimu sana msimu huu lakini inaonesha bado hawajui jinsi ya kushinda mechi wako so relax na kutwa wanataka kutembea na mpira mpaka ndani ya nyavu wakati watu wanashinda kwa mashuti ya mbali kila siku.anyway labda nakosea kwa vile nawahukumu wakati sijatizama mechi leo ,lakini nimeongea hivi kwa vile na wajua kwa undani.

wakuu mliona mpira naomba mmoja wenu anichambulie mechi ya leo manake sinataki kupoteza mda kurudia, nguvu zangu zote na zi-save kwa ajili ya jumapili.
 
sijapata nafasi kuangalia mpira leo tena wakuu sasa nina wasi wasi mkubwa je wenger maamuzi ya kutosajili striker ni mazuri kweli? nyie mlioangalia mpira niambieni tatizo lilikuwa wapi leo? ni lack of commitment from our players? au ndio pengo la song na diaby?

Pengo lilikuwa pale katikati Fabregas walikuwa wamemwekea man to man na kumpiga kiatu all the time. Lakini hata hivyo Arsenal walikuwa hawana bahati leo Fabregas amegonga nguzo first half na na Bendtner vile vile second half. Hawakuwa fluid at all Diaby na Song kama wakicheza J2 itakuwa poa na Arshavin akirudi kwenye wing mambo yatakuwa OK.

Swala la striker naona hajapata wa kumleta walio available hawawezi kuwazidi waliopo, na Wenger hawezi kulipa more than 30 million kwa mchezaji moja.
 
C'mon you Gunners, mara hii tunakuwa kama washabiki instead of supporters?

That point yesterday was crucial, Chelsea and Liverpool got beaten at Villa Park, so if one is positive yesterday we played well and deserved a win, but one point was worth it.

Washabiki wa upinzani lazima wachekelee but if you do the analysis Man Utd have not gone there, Chelsea have to play Villa at SB (by then Villa will be looking for top 4) so let's focus on Sunday's game which I know for sure we'll get a good result.

Myself I was not at all dissapointed with 1 point, I will be dissapointed if we fail to get 8 points out of these 4 difficult games.
 
Naangalia Sky News Wenger anasema inawezekana Beki yetu Thomas V. anawezekana akawa amevunjika mguu. Vipi Campbell alicheza vizuri jana?
 
Ukiangalia fixture ya Arsenal mechi za karibuni kazi ipo, huenda mkaanza kupotea kama misimu iliyopita
 
Aston Villa tayari, Ratiba ni ngumu lakini itaisha, itaishaje tucheki mechi za Jumapili......
 
Arsenal have managed to take 4 points from Aston Villa this season and both Chelsick and Manure have managed to take nothing from them.

Chelsick beaten 2-1 at Villa park and Manure lost at Home. Good results for the Gunners. Next stop Emirates with Manure.

SOL-SPLASH_975265a.jpg
Tell them man, kuna watu wanaangalia karibu tu, can't wait to see Man Utd get humiliated at V Park.
 
C'mon you Gunners, mara hii tunakuwa kama washabiki instead of supporters?

That point yesterday was crucial, Chelsea and Liverpool got beaten at Villa Park, so if one is positive yesterday we played well and deserved a win, but one point was worth it.

Washabiki wa upinzani lazima wachekelee but if you do the analysis Man Utd have not gone there, Chelsea have to play Villa at SB (by then Villa will be looking for top 4) so let's focus on Sunday's game which I know for sure we'll get a good result.

Myself I was not at all dissapointed with 1 point, I will be dissapointed if we fail to get 8 points out of these 4 difficult games.
You will end up with 3 points at maximum, two more draws at Emirates and....you know what's awaiting you at SB with Drogba back from Africa.
 
You will end up with 3 points at maximum, two more draws at Emirates and....you know what's awaiting you at SB with Drogba back from Africa.

Mzee lazima nisome post zako zote! you do not spare these Fat Arse supporters, Bolini na Bwabwa1 siwaoni tokea jana!
 
Ukiangalia fixture ya Arsenal mechi za karibuni kazi ipo, huenda mkaanza kupotea kama misimu iliyopita
hatuwezi kuikimbia timu kama Masanilo alivyoikimbia chelsea ilivyo kuwa inaboronga mkuu.

sisi tunaheshimu matokeo ya mpira yoyote yale.
 
You will end up with 3 points at maximum, two more draws at Emirates and....you know what's awaiting you at SB with Drogba back from Africa.

Yetu macho. Masanilo na Kundi lako msije kimbia.
 
Arsenal have managed to take 4 points from Aston Villa this season and both Chelsick and Manure have managed to take nothing from them.

...hapana bana, hicho sio kigezo sahihi. Eti kwakuwa Manure, Liverpool na Chelski walifungwa basi turingie pointi moja kati ya sita? No way bana...
hiyo ni sawa na kusema "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala!"

Tunataka ushindi wa pointi tatu ili tuwe mabingwa wa EPL, that's where 'the Invicibles belongs!'.
 
Back
Top Bottom