Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Karibuni sana #Wasagasumu na #Mburukenge katika jukwaa letu tukufu. Hafungwi mtu leo hiyo mkae mkijua.
 
attachment.php



Goons bana...wanataka kuweka mpira kwapani kwa kutumia mashabiki wao wahuni..
 
Naona mashabiki wa arsenal walioingia Stamford bridge hawamzomei fabregas!!
 
Goons bana, wanadhani Courtois atatoka kwa kumfanyia uhuni...
 
Kwa hiyo rafu ya Cahill, nyekundu ilikuwa halali yake..Wenger angempa ngumi kabisa mpiga domo Maureen..
 
Back
Top Bottom